Recent content by hapa.mimi

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani kuchakachua blackberry phone

    NIFANYEJE KUTUMIA 50mb ya TIGO EXTREME KWENYE BLACKBERRY PHONE. NI KWELI HAKUNA NJIA YA KUTUMIA MPAKA NINUNUE BUNDLE YA WIKI AU MWEZI?
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mtu anatamani . . . . . . .

    wewe uko upande upi hapo, nawewe unatamani au umeamua kupenda tu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Friends ladies

    Ngoja nieleweke, ninahitaji ladies friends just friends. sijui nimeeleweka? for any interested please pm
  4. H

    JamiiForums Tanzania Friends ladies

    Urafiki na CV wapi na wapi? si lazima kwenda FB bana mbona topic title inaruhusu.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Friends ladies

    Urafiki na CV wapi na wapi? si lazima kwenda FB bana mbona title inaruhusu.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Friends ladies

    Pm if serious
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

    Sasa tusonge mbele
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini makalio yao wanawake ndio kivutio zaid?

    Unaijua "camel-toe" hapo ndipo penyewe
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tanesco ni wezi au wameniibia mimi tuu

    Sijalalamika hata wakipandisha 50% haina shida . Shida yangu ni haya makato mara umeme kijijini mara ewura mara REA. Hivi tunaposema unalipia kodi maana yake ni nini? Sio ndio za kuchangia umeme kijijini, ewura, service charge, kikwete campaign etc?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tanesco ni wezi au wameniibia mimi tuu

    Wakuu nna hasira na TANESCO Jana nilipitia kununua LUKU maala fulani, nilinunua umeme wa 10,000/- lakini ajabu risit ilionesha kuwa nimestahili umeme wa 5,800/- tu ambazo ni kama forty something units hivi. Sikuelewa kabisa nikajaribu kupitia kale ka-riceipt chao ndo lah!! nakutana na Vat 18%...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mgeni kaingia

    Hallow JF mko juu
Back
Top Bottom