Recent content by Hapa kazi tu

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa website zinazouza magari Africa Kusini

    Heshima kwenu wadau, Naombeni msaada wa link za kuamini za mitandao zinazouza magari toka SA kama zile za Japani ambazo ni za kuaminika na si za kitapeli. Kuna gari aina ya toyota hilux ya mwaka 2010-2012 nataka kuagiza SA maana nasikia bei rahisi, ASANTENI.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa website zinazouza magari Africa Kusini

    Heshima kwenu wadau, Naombeni msaada wa link za kuamini za mitandao zinazouza magari toka SA kama zile za japani ambazo ni za kuaminika na c za kitapeli. Kuna gari aina ya toyota hilux ya mwaka 2010-2012 nataka kuagiza SA maana nasikia bei rahisi, ASANTENI.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mnaposwali msituharibie siku na sisi wengine

    Wagala kwa chuki hamjambo, umetoka ngudu umekuja dar na ww unajifanya Unatoa maona juu ya misikiti ya dar punguani kweli wewe, Rudi kule kwenu kulikojaa mabucha ya nguruwe na makanisa hapa dar tuachie wenyewe
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Bunju B

    We kweli kiazi, kama hujaelewa uliza usikurupuke. Serikali imesema itatoa bei elekezi kwa viwanja vitakavyopimwa na Halmashauri au mawakala wa kupima viwanja sio viwanja vya mtu binafsi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wakeraji barabarani...!

    Hiyo namba 2 mkuu wananikeraga sana, Yaani dah
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nina Simu kali mkononi, unanipa Tsh ngapi huu mzigo?

    Hiyo ni copy, original haipo hivyo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yamzawadia Mbwana Samatta Kiwanja Maeneo ya Kigamboni!

    Waziri mkuu amempatia na pesa kabisa jana niliona star tv
  8. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kusajili gari lililokuwa likitumika nchi nyingine ili liweze kutumika nchini Tanzania

    Kwanza unatakiwa uwe na certificate of DE-REGISTRATION, kutoka nchi husika, Yaani kwa mfano gari ulikuwa unaitumia tz sasa unaipeleka Kenya, lazima tra waiondoe kwenye mfumo wa usajili wa tz ili iwe huru, pili unatakiwa uwe na barua ya interpol kutoka nchi husika ambapo gari hilo linatoka ili...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani Katika miujiza hii?

    Unampaje mvunja ndoa za watu cheo cha "UNABII"? Huyo ni mzinzi
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nauza Noah old model 7.5

    Sasa gari ndo inauzwa hivyo?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nauza Noah old model 7.5

    Kwa hiyo tukusaidie nini?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania; Iran na Saudi Arabia, tupo upande upi?

    Sio chuki ila ndio ukweli matendo yao na iman yao SIO UISLAM, na ambaye hafuati Quran na Sunna
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania; Iran na Saudi Arabia, tupo upande upi?

    Chuki ya vipi nadanganya au? Kama unaona nadanganya nikupe ushahidi
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania; Iran na Saudi Arabia, tupo upande upi?

    Mashia ni kama makafir wengine tu, kusema UONGO ni moja ya imani ya dini yao. Huwez kuwatofautisha SHIA na MAKAFIR
  15. H

    JamiiForums Tanzania Msiba wa mama yangu mzazi

    Innalillah wainna illayh rajiun
Back
Top Bottom