Recent content by haogwa

  1. H

    GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    We shall be having a monologous discussion in the house. That is detrimental for our Nation.
  2. H

    GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Nasubiri kuona Bungeni kama kutakuwa na interruption za TAARIFA.
  3. H

    Tunda gani hili?

    Kule lushoto kinaitwa Sambia.
  4. H

    Wake zetu acheni Roho mbaya!

    Jambo la msingi ni kuridhika na kutulia. Hata akikuruhusu kuoa mwingine, hutaweza kuwamaliza wote. Kila mwanamke ni mzuri kwa jinsi yake alivyoumbwa na kujaliwa na Mungu. Baki njia kuu.
  5. H

    Tanzania yakubali kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia upungufu wa Madaktari

    Kwa watu tunaoshughulika na masuala ya mahusiano, tuna mashaka makubwa sana na uamuzi huu. Usalama wa madaktari wetu upoje? Je madaktari wetu watapata ushirikiano wa kutosha katika kufanikisha majukumu yao? Je, chama cha Madaktari Tz hakijiingizi katika mgogoro na chama cha Ke? Tusisahau kuwa...
  6. H

    Msaada: Nimeibiwa usiku wa kuamkia leo

    Labda wezi nao ni members wa forum hii.
  7. H

    Tunda gani hili?

    Huku Lushoto yanaitwa Sambia.
  8. H

    How our dear President Kikwete is Viewed outside TZ! ( A must read story)

    Tuacheni ushabiki. Wazungu hao hawajatutukana, bali wanatuambia ukweli. je kuna kitu chochote walichosema ambacho si cha kweli hapo kuhusu Kikwete, Tz na Watz?
  9. H

    Maaskofu Walihusika Vipi na Mgomo wa Ma-dr?

    Watu waliokufa kwa kukosa matibabu hawakuwa wa dini moja, walikuwa kutoka dini zote hapa nchini. Watu waache kuangalia majanga ya kitaifa katika sura ya kidini. Bali katika sura ya utaifa.
  10. H

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Hata kama chdm watashindwa, CCM watajua kuwa upepo wa mabadiliko unavuma na muda mfupi yaliyotokea Zambia yataikuta.
  11. H

    Zitto ataka Tanzania isitishe uhusiano na nchi za Magharibi: Kisa? Libya

    Nampenda sana Mbunge kijana, machachari na mahiri, Zito Kabwe. Lakini katika wazo la kusema kuwa Tanzania ivunje uhusiano na mataifa yanayoishambulia Libya ambalo Kabwe amelitoa leo Bungeni, amekosea. Kwanza ni lazima afahamu kuwa Nato pamoja na marafiki zao ndio wanaowezesha bajeti ya tanzania...
  12. H

    Mkuu wa wilaya Dodoma atekwa na wanafunzi

    Asante kwa taarifa. Kwa mwendo huu itabidi JK aseme mwenyewe na wala sio kutuma watu.
  13. H

    Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

    Ninawapongeza wasomi wa Chuo Kikuu cha Dsm kwa mjadala wa leo juu ya Katiba mpya. Wamedhihirisha kuwa wao ni taasisi muhimu kwa mustakabli wa nchi hii. Ninatoa wito kwa taasisi nyingine zinazofanana nayo kufanya hivyo bila woga.
  14. H

    Serikali yatoa ubani kwa marehemu Arusha

    Hapa hakuna cha kujikosa. Kama watamudu kupindisha sheria za tanzania(kama kawaida yao eg zombe) bado watakutana na mkono wa Ocamp.
Back
Top Bottom