Nimekuelewa sna mkuu hata mimi nilimshsuri hivyo lkn shida iko ndugu wansema hawatkii kutambua ndoa na kama akikubali kuendelea nae basi akubali kwend mhakni kumu adopt mtto
Ni ule upendo ndani ya mwanae, na hata mtto alivyonamapenzi kwa babake mnw tyr ameshazoe muda ambao hurud kutoka mihangaikoni na kila asikiapo hodi hua mtto ndio anapenda kwenda mfungulia mlango.
Ni kweli mkuu akili ikitulia huenda atafanya hivyo na akubaliane na lolote litakalo kuja mbele yake, sababu naamin mwenye mtto wake atakuja mdai siku moja.
Imetokea.
Shemeji alivyo mcheshi, mpole na mchangamfu na mwenye kujali ni ngumu kuamini..
Ilikua kama utani baada ya kujifungua na mtoto kukua na kuanza kuonyesha tabia zake, ndipo wakubwa wakaya wakadai hyu mtoto mbona hafanani na tabia za koo zetu.?? Walihoji
Ugomvi kati ya kaka na familia...
Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyosomeka nauza vitu vifuatavyo jiko la gas mtungi mdogo, kitanda na godoro lake, zuria, feni, kikabati kidogo, stand ya viatu, rice cooker, stand ya nguo n.k karibuni..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.