Recent content by hans79

  1. H

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

    Posho imeisha na wajua wajanja sasa hv hawamthamini mana walifanikiwa walichokitaka. Mbona Slaa katulia naye awe vvyo hivyo.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro: Kuna watu wanapewa pesa ili waandamane kwenye UKUTA

    Hv intelligence yao ni kwa vyama vya sasa tu!!! Kheri kukaa kimya
  3. H

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

    Ugali hauna marudio so hivyo vionja angalieni wenyewe majipu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Msukuma simuelewi, Ona anavyozungumzia faida ya bunge kutokurushwa "live"

    Tuwasamehe kwani hawajui watendalo
  5. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ningejua kama Urais ndio hivi, nisingegombea

    Naye je? Mbona wizara aloiongoza ilitolewa taarifa na CAG kuwa kuna figisu figisu ktk matumizi ya fedha za umma. Aache uwongo huyu John mana utagombeaje nafasi usoijua!!! Urais raha aache udanganyifu kabisa, mbona haachi madaraka kama mambo ni manzito??? Ndo mana imeandikwa toa boriti jichoni...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tanga Kuonja Mema ya Mbunge Yosepher Komba (CHADEMA)

    Mwambie John akupe Lori moja uendeshe
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Mawakili wa Serikali waogopa kuhesabu fomu za matokeo

    Sio swali kaa chini.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Said Kubenea akutwa na hatia kwenye mashitaka yanayomkabili

    Useless, kama mafisadi wapelekeni haya ya kuandika kinafiki nafiki ya nini tena!!!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Pongezi zikufikie RC Paul Makonda

    Ari ndo nini! Sema kujipendekeza zaidi
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

    Vua miwani ya mbao uone, mana mwenyezi Mungu hamfichi mnafiki
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

    Taarifa ya CAG bungeni 2016 ilisema kuwa pana ubadhirifu mkubwa sana wizara ya ujenzi, je waziri wake alikuwa nani? Meli ya samaki waziri gani aliikamata? na baada ya hapo serikali ilipa fidia baada ya kushindwa kesi. Hv ni nani asojuma utajiri wa JOHN! Ndo mana imeandikwa kwanza boriti...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wenje aomba kufunga kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi

    Jakaya alisema mtanikumbuka ina mana ni kweli hasa demokrasia ya vyama vingi?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Magari ya kifahari ya viongozi wa serikali bado yananunuliwa licha ya Pinda kusema kuwa hayatonunuliwa tena
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mashirika yanayolipana Mishahara Minono kwa mwezi

    Hv yale magari ya bei kubwa serikali imestisha kuyanunua mana Pinda alisema hayatonunuliwa tena? Lakn serikali awamu hii bado wanaendelea kuyanunua toka Toyota .
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Kumbe zombi kula kulala pole sana mpambe wa Chicago
Back
Top Bottom