Wenje aomba kufunga kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Wenje ameiomba mahakama kuu , Mwanza kufuta kesi aliyoifungua ya kupinga matokeo. Yaliyompa ushindi S.Mabula, kupitia uamuzi na ushauri wa mwanasheria wake wameshauriana kuondoa kesi.

Wakili Outu ameshauri baada ya maahakama kukataa fomu 21b

Mahakam imekataa ushahidi wa form no. 21 ambayo ndio ilikuwa yenye ushahidi wa uhakika Mabula aliulizwa ushahidi wa fom hiyo akasema kaicha, akaleta masanduku ya kura akaambiwa na mahakama hayo masanduku ni mali ya tume ushahidi wake ni form no 21, ma akasema niliichoma moto, sasa tena hakimu anabadilika unategemea mlalamikaji afanye nini? Hata hivyo hajaondoa kesi mahakamani amefunga ushahidi wake ambao ni wa mtu mmoja yeye mwenyewe hapa mahakama lazima imeshurutishwa kuhakikisha wenje hashindi hii kesi.
 
Kama makabrasha ya ushahidi yamekataliwa na kesi ni ushahidi nafikiri wameamua kuachana nayo kwani huwezi kushinda kesi bila ushahidi.
 
Kwikwikwi..Wapi Mwanahabari huru, mmawia na niffar just a few, mambo iko hukuuu
 
Mahakam imekataa ushahidi wa form no. 21 ambayo ndio ilikuwa yenye ushahidi wa uhakika Mabula aliulizwa ushahidi wa fom hiyo akasema kaicha, akaleta masanduku ya kura akaambiwa na mahakama hayo masanduku ni mali ya tume ushahidi wake ni form no 21, ma akasema niliichoma moto, sasa tena hakimu anabadilika unategemea mlalamikaji afanye nini? Hata hivyo hajaondoa kesi mahakamani amefunga ushahidi wake ambao ni wa mtu mmoja yeye mwenyewe hapa mahakama lazima imeshurutishwa kuhakikisha wenje hashindi hii kesi.
...ukiona hakimu anakuwa na kigugumizi,ujue keshapokea maelekezo toka juu,waache hao wa lumumba wasioelewa waendelee kujichekelesha, kama hawaujui ukweli.
Mahakama za Tanzania ni kiwanda cha maigizo,mahakimu punguzeni njaa,wacheni kumlinda huyo naibu waziri!
 
...ukiona hakimu anakuwa na kigugumizi,ujue keshapokea maelekezo toka juu,waache hao mijusi wa lumumba wasioelewa waendelee kujichekelesha kama hawaujui ukweli.
Mahakama za Tanzania ni kiwanda cha maigizo!
Ni ngumu sana kupata haki katika hili kwa sababu alievuruga matokeo ni chama tawala anaeteua majaji ni rais ambae ni chama tawala , hapa lazima wapinzani wote wajiandae kushindwa tu haki yao wanapokonywa kwa kuwa hakuna mahakama huru. Mungu ndie atawalipia wawe na amani tu kwa kuwa watanzania wanaujua ukweli wao ndio waliochaguliwa na wananchi wao.
 
Wenje ameiomba mahakama kuu , Mwanza kufuta kesi aliyoifungua ya kupinga matokeo. Yaliyompa ushindi S.Mabula, kupitia uamuzi na ushauri wa mwanasheria wake wameshauriana kuondoa kesi.

Wakili Outu ameshauri baada ya maahakama kukataa fomu 21b
Watu walijaa mpaka mahakama ikalazimika kutumia spika? aliondoka amebebwa kwny kiti kama mfalme? Safu nzima ya CHADEMA makao makuu ilikuwepo? natamani kujua tu....
 
***** serikali ya majipu
Na kama kauli yangu ni tusi basi inamuhusu na kiongozi wenu
Hii serikali si rafiki kabisa wa upinzani ni bora hata ile iliyopita, kama rais aliweza kuongea utumbo pale ilala na kuwakashifu wapinzani kuwa ni watoto wa kambo hapo kuna haki kweli itakayo tendeka?! nchi hii ni tatizo sana.
 
Ni ngumu sana kupata haki katika hili kwa sababu alievuruga matokeo ni chama tawala anaeteua majaji ni rais ambae ni chama tawala , hapa lazima wapinzani wote wajiandae kushindwa tu haki yao wanapokonywa kwa kuwa hakuna mahakama huru. Mungu ndie atawalipia wawe na amani tu kwa kuwa watanzania wanaujua ukweli wao ndio waliochaguliwa na wananchi wao.
....halafu baadae kwenye taarifa ya habari utakaona kanajidai kazalendo,"watanzania wameteseka sn",rubbish,na kile kidevu...huyo mabula alishashindwa hiyo kesi,wameamua makusudi kumbeba,halafu aibu zaidi ni huyo hakimu kigeugeu,amejivua nguo zote!
 
Halafu mbaya zaidi hakimu amekataa madai ya wakili wa wenje, kufuta hiyo kesi ili waikatie rufaa, huu ni uhuni kabisa ushahidi huu wa vielelezo vya form za nec umekubaliwa kwa kafulila halafu kwa wenje mara ya kwanza hakimu amekubali kwa kuwa mabula alijua hii ndio kete ya kumshinda wameamua kucheza na hakimu ili akatae vielelezo, uliona wapi ushahidi ukakataliwa mahakamni? huu ni uonevu mkubwa.
 
Jakaya alisema mtanikumbuka ina mana ni kweli hasa demokrasia ya vyama vingi?
 
BADO KAFULILA; SIJUI KAMA ATAPONA BORA YA MBATIA NA MREMA.

NAOMBA KAFULILA AJIONDOE MAPEMA; KWA MASLAHI YA WANANCHI HALAFU AGOMBEE 2020, NAONA KAMA ITAMBEMBA;
AFANYE KAZI ZA URAIANI KASULU KWA KUFUNGUA NGO .
 
Jana niliona ujumbe fulani kuwa Wakili wa Wenje ameshauri hiyo kesi ifutwe kwenye hiyo Mahakama ili waikatie rufaa kwa Mahakama kukataa ushahidi,hili likoje wa wenye ujuzi?
 
Back
Top Bottom