Tanga Kuonja Mema ya Mbunge Yosepher Komba (CHADEMA)

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Mkoa wa Tanga kunufaika na mradi wa kusaidia sekta ya elimu uliobuniwa na Mbunge wa Viti Maalumu Tanga, Yosepher Komba. Mradi unashughulika na kusaidia upatikanaji wa vitabu,madawati, vyumba vya madarasa,vyoo vya kisasa na nyumba za walimu.

Taarifa kutoa vyanzo vya kuaminika vinabainisha kuwa mradi huo wa kusaidia sekta ya elimu unatarajiwa kuhusisha wilaya zote za mkoa wa Tanga, Muheza ikiwa ndio wilaya ya kwanza kufaidika na mradi huo.

Baadhi ya muonekano
 
Attachments

  • IMG-20160413-WA0039.jpg
    IMG-20160413-WA0039.jpg
    13.8 KB · Views: 58
  • IMG-20160413-WA0037.jpg
    IMG-20160413-WA0037.jpg
    20.5 KB · Views: 61
  • IMG-20160413-WA0036.jpg
    IMG-20160413-WA0036.jpg
    19.1 KB · Views: 61
  • IMG-20160413-WA0035.jpg
    IMG-20160413-WA0035.jpg
    18.8 KB · Views: 60
Great!!! na Mungu afanikishe kazi hiyo kwa manufaa ya watanzania wote
 
n hatua nzuri sana ya kimaendeleo inayofaa kuigwa na wabunge wengine....bila kujali itikadi zao za vyama..

sisi mbunge wetu, cjui yuko wapi maana JimbOni haonekani kabisa!!!...
 
Huyo niwaccm anacheza maigizo yupo kaole
 
Mkoa wa Tanga kunufaika na mradi wa kusaidia sekta ya elimu uliobuniwa na Mbunge wa Viti Maalumu Tanga, Yosepher Komba. Mradi unashughulika na kusaidia upatikanaji wa vitabu,madawati, vyumba vya madarasa,vyoo vya kisasa na nyumba za walimu.

Taarifa kutoa vyanzo vya kuaminika vinabainisha kuwa mradi huo wa kusaidia sekta ya elimu unatarajiwa kuhusisha wilaya zote za mkoa wa Tanga, Muheza ikiwa ndio wilaya ya kwanza kufaidika na mradi huo.

Baadhi ya muonekano
sasa unaweza kushangaa Dc na afisa elimu wakakataa kupokea misaada hiyo .
 
Back
Top Bottom