Recent content by HANS K MFYOMI

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Dr.Slaa Uyole- Mbeya; CHADEMA waomba michango kugharamia ujio wa Dr.Slaa

    Hio michango naomba tra waifuatilie, si vibaya kuchangisha lkn halmashauri inajua? Maana mtindo huo matapeli watatumia
  2. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA M4C Kuunguruma leo Bukoba Mjini Buyekera Sokoni...fuatilia

    Siasa zetu!!?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeingiliwa, kuna magaidi kutoka nje ya nchi

    Ktk mtanzania ambaye ni mzalendo ww mtoa mada upo correct. Maana manazagaa wageni nchi hii kama yao? Uhamiaji tz poor
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mh Lema mbunge

    Jembe atajirekebisha, ila dk slaa kila kukicha anaingilia mahakama dhidi ya lwakatare kupitia chama. Je chama kimeafiki?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Jamani, katika hili JK apongezwe!!

    dunia duara kama chungwa
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Victor ndiye aliyembeba mlipuaji kama abiria wa boda boda

    Juzi tumeambiwa hana dini! ? Kwani polisi imetoa uthibitisho hadi tunadanganyana kuwa wamemwambia victor ndio gaidi?jf
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge wa Igunga Dr. Dalali Peter Kafumu

    Haki ikitendeka upande wa ccm c haki lkn juzi juzi tu mh. Lema alishinda ni haki. Acheni unafiki huenda mna lenu c bure
  8. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haitalipa kisasi-Dr Slaa

    Hata mahakamani una anza na kiapo kua uyasemayo sahihi, lkn unadanganya. Tusubiri mahakama mkuu punguza shangwe
  9. H

    JamiiForums Tanzania Swala la Lwakatare: sio Mwigulu peke yake Mbona Wasira, Nape hamuwajumuishi?

    Vicheko, nderemo, kejeli na vibweka. Hakuna uzalendo hakuna ustarabu. Acheni kupiga mayowe subiri mahakama itoe ukweli
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Abbas Kandoro kwa uamuzi huu

    Kuna watu humu jf wana comment vitu kwa chuki na uchochezi tu, mheshimiwa ametoa kauli njema hata kidini inakubalika.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ukiomba kura kanisani au msikitini ukiitwa mdini usilalamike, kaa kimya - Nchimbi

    Wameshindwa siasa wanafanya ugaidi. Harafu kwa kuleta unafiki humu jm balaa. Ona yule mwandishi wa vuta nikuvute riar
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kinana: Nachafuliwa kwa sababu ya wadhifa wangu

    Vuta ni nivute kumbe we mwandishi upo kwa manufaa ya chama fulani, huna cfa ni mshawishi tu. Nakuogopa kama ukoma
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lwakatare: Leo itajulikana ama ana kesi ya kujibu au kufutwa kesi

    Haki itendeke Tanzania tunataka amani na usalama, tusiogopane
  14. H

    JamiiForums Tanzania Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    Binadamu ataendelea kuwa binadamu, uaminifu wa binadamu upo kwa mungu. Juzi tumefagilia mahakama zinatoa haki leo lawama
  15. H

    JamiiForums Tanzania HI

    Mambo wakuu wa jf
Back
Top Bottom