Recent content by hangi

  1. H

    Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka

    Elimu yetu ya Tanzania iko kwenye kipindi cha mpito ninaweza nikasema hivyo, manake siasa inaonekana inaingilia rasmi mabo ambayo ni ya msingi na yenye mstakabali wa kitaifa. Kizazi cha leo ndio maana hakina uelewa wa haraka hata madarasani. Haya mambo ya uchakachuaji wa elimu hata vyuo vikuu...
  2. H

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    Siku zote siasa imekuwa ni mchezo mchafu sana, ambao kwa wale wasioujua wanaweza kusumbuka sana kutambua siri na mambo mengi yalifichika ndani ya jina liitwalo siasa. Ni lazima ifike mahali watanzania wawe makini, kufuata mikumbo wasioijua misingi yake, manake viongozi wetu hawa hawako kwa...
  3. H

    Pasta atembezwa uchi hadi kanisani kwake baada ya mkewe kumfumania na mwanakwaya live

    Kuwa pasta haimaanishi ni mtumishi wa Mungu kweli, wengi ni watafuta pesa, wanapenda kuhubiri mambo malaini yasiyokemea dhambi za watu...na ndio maana siku hizi makanisa kila sehemu hapa nchini....
  4. H

    MSAADA, Nataka KUJIUA

    Ndugu kujiua ni nguvu ya pepo wachafu wanaotaka kupeleka watu motoni. Nakusihi sana usije ukajiua, kwanza ni dhambi mbele za Mungu na hata kwa wanadamu. Omba msaada toka kwa Mungu atakusaidia kushinda jaribu hilo.
  5. H

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Mambo yanayotokea Mtwara sasa hivi ni udhirisho kuwa jamii ya watanzania walionyanyaswa kwa muda mrefu na utawala dhalimu wa CCM, wamechoka na hawako tiyari tena kuendelea kuvumilia. Zamani hotuba za bunge la bajeti zilikuwa hazifuatiliwi sana na wananchi wa kawaida, lakini sasa mambo siyo hivo...
Back
Top Bottom