Recent content by handsome one

  1. H

    "Hmmm! Sir, if your brother was a policeman,would you let him go in this case?"

    Jana kulikuwa na majambazi walikuja nyumba ya jirani nikapiga 911, nlichosikia nlichoka kwanza: Welcome to POLICE EMERGENCY CENTRE. For English, Press 1, For Kiswahili Press 2. Nikabinya 1 sauti ikaja... For car accident press 1, For armed robbery press 2, For Al-shabaab press 3,nikaminya...
  2. H

    Kwanini Rwanda wametuzidi katika hili?

    Sasa wewe nchi yako inavyote ivyo unanufaika nini,acheni kuipumbaza serikali kwa mapambia uo ni ujinga uolio pitiliza
  3. H

    Wataalam wa Itifaki tuelimisheni: JK kupokelewa na Meya wa Jiji Salzburg Austria

    Acha ujinga wewe uko ameenda kutoa maamuzi gani ya juu,mijitu mingine ovyo sana kazi tu kupotosha umma
  4. H

    IGP Mwema ameibiwa upanga wa dhahabu wa kilo tatu

    Majanga,mbona majanga....... Nchi hii tumevurugwa ila watupe mda tu watajua tu si ni akina nan WATanzania ama wakabanjia
  5. H

    Raisi Kikwete Apokelewa Austria kuhudhuria mkutano wa 'NEW IDEAS FOR A FAIR GLOBALIZATION'.

    Raisi wetu kweli ni dhaifu,sijui ana ugonjwa ganui maskini??? Dah awa wazungu bana ukarimu kwao ni zero,ona sasa mkuu wa kaya ameenda kwao Eti anapokelewa na meya ndo mana wenzake wa kenya uganda na rwanda hawashoboki na safari zakudhalilishana kama izi,dah sijui lakin may be ushamba wake...
  6. H

    Vita dhidi ya madawa ya kulevya: Waziri akiri wauza unga kuifadhili CCM, Nzowa aizamisha Jambo leo

    Mkuu itakua vizuri ukiwataja wa ndani ya chadema unaowafahamu ilikuwapa mwanga na mimi nitakuendelezea ukianza
  7. H

    Katuni ya Kagame toka kwa Chris Katembo

    Mchoraji katumwa na kikweee sio bure acheni choko choko ni aina nyingine ya ujinga
  8. H

    ITV waonyesha Mwalimu Nyerere akiihutubia Bunge la SA mwaka 1997

    Mulugo waziri kilaza shule yake walimu mpaka wana funzi hawajielew afu mnapa wizara ya elimui Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  9. H

    Nape ambwaga Mwenyekiti Kagera! Madiwani wapeta!

    Nape ccm imepata mtu au mtu ameipata ccm Watch out Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  10. H

    Mustafa Mkulo atoka mbio kukwepa ghadhabu ya wananchi Dumila

    Achana nalo mkuu,ilo ni domo la msema ovyo
  11. H

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    We jamaaa una akili sana kwanini hawawapi nafasi naamini kama wewe mpo wengi ila tatizp mfumo tulionao unawabana
  12. H

    CHADEMA yaumbuka: UTPC yaipinga kuhusu kujenga Mnara wa Mwangosi

    Najua kwanini unaongea hivi,lumumba project always negative
  13. H

    UDSM yazidi kuchanja mbuga katika nyanja za kimataifa kwa ubora wa elimu

    2013 WORLD UNIVERSITY WEB RANKING Top 100 Universities and Colleges in Africa Top 100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking 1 University of South Africa South Africa 2 University of Cape Town South Africa 3 Universiteit Stellenbosch South Africa 4...
  14. H

    UDSM yazidi kuchanja mbuga katika nyanja za kimataifa kwa ubora wa elimu

    Bora umesema jamaa ni mbvurula la mwishi sijui linatujaribu
Back
Top Bottom