Recent content by hancy designer

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wakuu.

    Unawza kutuma kwa whatsapp ila ni njia ndefu njia nzur tumia Google driver
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ni simu zipi zenye application za Microsoft office?

    Andoid zote
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msada jinsi ya kujiunga na channel nyingine youtube

    Sisi tunataka kupata views
  4. H

    JamiiForums Tanzania Pakua App nzur kwa kuchart

    We ni mgeni kwenje jf?
  5. H

    JamiiForums Tanzania MSAADA WENU WATAALAMU

    Mkuu ingia YouTube search how to get Sony app for free watakuonyesha link kwenye video discription itakupeleka moja kwa moja kwenye kushusha
  6. H

    JamiiForums Tanzania MSAADA WENU WATAALAMU

    Hahahq
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kuweka fonts kwa cmu

    Download kingroot kisha root iyo sim yako baada ya apo download ifront ambayo ni app yenye front za aina zote
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani naweza kujilinda na udukuzi

    Mkuu amna kitu ambacho kinatengenezwa bila mapungufu kwaiyo hacker wanapita kwenye mapungufu hayo hayo Kwaiyo unahitaji kufix mapungufu ya kitu unacho kitengeneza
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 10 agundua udhaifu wa Instagram

    Mkuu me naitaji domain ya dot com ntapataje ya bei rahis
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 10 agundua udhaifu wa Instagram

    Asante mkuu nimeichek apa nimeiona ipo good
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 10 agundua udhaifu wa Instagram

    Ninampango wa kuanzisha academy ya tech kwaajili ya watoto wadogo
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 10 agundua udhaifu wa Instagram

    Ebu tufafanulie kuhusu iyo code academy
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 10 agundua udhaifu wa Instagram

    Tatizo hamjawapa maana halisi ya na matumizi ya hivyo vifaa
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 10 agundua udhaifu wa Instagram

    Ninaujuzi wa kudesign web kwa html ndio somo nililo anza nalo Natumia online books na YouTube video
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 10 agundua udhaifu wa Instagram

    Ninaujuzi wa kudesign web kwa html ndio somo nililo anza nalo Natumia online books na YouTube video
Back
Top Bottom