Ni simu zipi zenye application za Microsoft office?

Ni simu zipi zenye application za Microsoft office?

Poleni na kazi wanajamvi!

Naomba kuulizia kuhusu simu zenye application ya microsoft words, excel n.k

Nimetamani kuwa natumia simu kwenye kufanya kazi za microsoft word wakati ambao siko na laptop karibu.

Naomba kujua ni simu aina gani zina uwezo huo na bei zake kama ikiwezekana.

Natanguliza shukrani!
Andoid zote
 
Nahitaji mkuu, nisaidie kama naweza kupata mpya, maduka mengi wanauza white. Msaada wa kujua duka hio Lumia 650
mkuu, hii yangu haina tatizo lolote hata kwa fundi haikupitia nimeshaiupdate ina WINDOWS 10 CREATORS UPDATE, now ipo smooth,ila kama unataka mpya waweza fika posta ila bei yake imechangamka kidogo
 
Back
Top Bottom