Mkuu amna kitu ambacho kinatengenezwa bila mapungufu kwaiyo hacker wanapita kwenye mapungufu hayo hayoWataalamu wa teknolojia naomba mnijulishe ni jinsi gani naweza kujilinda na udukuzi wa simu yangu.Kuna mtu ananifuatilia kujua nipo wapi kupitia namba yangu ya simu so nataka niepuke hali hiho.Msaada wenu tafadhali