Recent content by han2710

  1. han2710

    Car4Sale GARI INAUZWA KWA BEI NAFUU

    Sawa mkuu
  2. han2710

    Car4Sale GARI INAUZWA KWA BEI NAFUU

    Sawa mkuu, ilakilichokosekana hapo ni picha na nilishaomba radhi hapo awali ila ntajitahidi ili picha muione
  3. han2710

    Car4Sale GARI INAUZWA KWA BEI NAFUU

    Mkuu nimesema bei nafuu, nikimaanisha c gharama kubwa ukilinganisha na bei iliyonunuliwa
  4. han2710

    Car4Sale GARI INAUZWA KWA BEI NAFUU

    Picha inasumbua kwenye ku-upload samahani kwa hilo
  5. han2710

    Car4Sale GARI INAUZWA KWA BEI NAFUU

    Kama tittle ilivyosema kuna used japan car inauzwa Model: Mitsubishi Colt plus. Colour: Dark blue Condition: excellent condition Full vibali: road licence up to 23/04/2018 Bima up to 03/05/2018 (Comprehensive) Ukipata ajali unalipwa gari nzima. DDU (plate number) Imetembea Km 141643. Bei...
  6. han2710

    Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Hilo ndo haswaaaa... Sikuhizi asilimia kubwa ya watu hapa Tanzania wanawasikiliza baadhi ya wanasiasa na watu wanaojiita wanaharakati ambao baadhi yao kimsingi nadhani wanakuwa wapotoshaji kwa taifa kwa kukosa facts na pia cc tunaopokea hayo mambo pasipo kuchambua hilo swala moja kwa moja...
  7. han2710

    Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Safi sana mkuu, na kama anadhani si jibu sahihi basi aende kwenye katiba ya tanzania kama reference ambayo waziri husika alivyoeleza. Pia naomba nitoe rai kama watu wanataka wanasiasa wakaguliwe vyeti basi inabidi kupelekwa mjadala bungeni na kuruhusu ukaguzi kwao kwa nafasi hizo zilizotajwa...
  8. han2710

    Manara: Jumanne Nabutua, wanachama wetu watulie

    Ukizungumzia hiyo nadharia basi kagera sugar anapaswa kunyanganywa alama 3 katika michezoyote aliyecheza mohammed fakhi na si vinginevyo. All in all kwa hili tff wamevurunda, tukirejea kwenye swala la simba kuhusu pointi 3 iwe simba amepeleka rufaa au la ilipaswa kagera anyang'anywe alama hizo...
  9. han2710

    Timu maarufu zinazoongozwa kubebwa na Marefa

    Yanga a.k.a wazee wa 4G
  10. han2710

    INSTAGRAM

    Uninstall then install again your instagram app
  11. han2710

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Mi sidhani kama bunge litajadili kuhusiana na swala la mtu kufoji vyeti maana itahitaji ushahidi wa kina ili kudhibitisha hili. Pia tukumbuke kama yeye ni kweli alifanya hilo swala basi kuna haja ya kuwafanyia uchunguzi mpaka wale wengine waliobadi na kukili kwa sababu nao watakuwa wamefanya...
  12. han2710

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Shida siyo kukubali au kutokubali kuhusiana na swala. Issue iko hivi kama mshtakiwa hataki kutoa majibu sahihi ili kuweka mambo wazi ni kwann watu ambao wanaushaidi kuhusiana na swala hili wasijitokeze na kukitia kimbutua mchanga na watu wakajua?. Maana tukiendelea hivi mwisho wa siku naona...
  13. han2710

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Kama huyo mtuhumiwa hajakana mashitaka mpaka leo ni kwann hatua zingine zisitumike kama ambavyo nimependekeza ili kuumaliza huu utata na watanzania wote tukajua mbivu au mbichi juu ya hili swala.
  14. han2710

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Mkuu hebu rejea nyuma na kuangalia viongozi wote waliotuumiwa kwa kesi kama hivi walitoa ushahidi wao?, mm nadhani hili litaisha kama kwa wengine wa awali ambao waliandikwa kwenye kitabu cha "mafisadi wa elimu' au wengineo wa juzi juzi hapa
  15. han2710

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Baada kuona mjadala tena mrefu humu ndani leo na mimi naona nitoe uzi wangu ili tupate kujadili wote na ikiwezekana kila mmoja awe amepata jibu sahihi. Hii ni kutokana na swala linaloendelea ambapo mimi siwezei kukubaliana nalo wala kulikataa ila naweza kulikubali endapo tu itakuja evidence...
Back
Top Bottom