Kwa wale wenye uhitaji WA tin certificate, vyeti vya kuzaliwa na lessen za biashara nakutengenezea Kwa bei nafuu Sana ...nichek 0761808489 Kwa wasap au normal SMS... Huduma NI uhakika
Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
Mm niseme tu mshkur sana mungu kwa kla ktu mana huwez elewa nn mungu amekuepushia , pia kumbuka unalolipanga wewe sio ambangalo mungu so usijutie zaid toa shukran zako za dhati kwa mungu muumba na kuomba Zaid akuondoshee mawazo potosi Dunia ni kubwa inanafasi bado usifadhaike
Fungua biashara ya uwakala muhmu tafuta sehemu nzur yenye population mfano karibu na masoko ya biashara ndogo ndogo hao watu wanatuma pesa na kutoa pesa bwana ... Hakikisha una laini zote na uwakala wa benk ,nmb,crdb n.k kamisheni hukosi 3 millions kwa mwez ... 12 inatosha kabsa utarejesha hyo...
Changamoto watu wengi hatujui namna ya kusafirisha plus gharama zake pia... Iliki ,karafuu bei ya chini hupatikana wapi kwa hapa tz kwetu na nchi gan hununua mazao haya kwa wingi ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.