Recent content by Hamul

  1. Hamul

    JamiiForums Tanzania Kutoka Washington, USA: President Magufuli, Stop That Dam

    Ushaambiwa gesi tumepigwa na haohao wanapinga stiglers ili waendelee kutuuzia gesi kwa bei ghali. Mbona umeshupaza shingo yako hutaki kugeuka uone upande wa pili. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Hamul

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetekwa China

    Wewe ni nani hasa na una threat gani kwa CCM hadi watumie pesa nyingi na mda wao mwingi kukuzima wew, hebu funguka vizur Mzee , maana kama watu wa chadema ni wengi mno, kwanini iwe ni wew, na ni mwanafunzi bado??
  3. Hamul

    JamiiForums Tanzania Idris Sultan adai kuahirishwa kwa Sherehe za Uhuru kunapunguza Uzalendo kwa Taifa..

    Yaan watu hujifanya vipofu ata kwa vitu vinavyoonekana ilmradi tuu watetee kile wanachokiamin au kukipenda. Wanakera sana hawa watu
  4. Hamul

    JamiiForums Tanzania Idris Sultan adai kuahirishwa kwa Sherehe za Uhuru kunapunguza Uzalendo kwa Taifa..

    Acha ujinga, ndo mbio za mwenge zije kuzindua guest, si bora ata wamuite diwani aje kuzindua
  5. Hamul

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya uwanja wa michezo jijini Dodoma iliyotolewa na mfalme wa Morocco

    We jamaa bhana, kufanya clearance ndo wameanza. Walisafisha tuu na palishaanza kuchafuka tena na Amna Kazi inayoendelea
  6. Hamul

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya uwanja wa michezo jijini Dodoma iliyotolewa na mfalme wa Morocco

    Uchochez wapi Mkuu, jamaa alimdanganya mkulu
  7. Hamul

    JamiiForums Tanzania Gari lililotumika kumteka Mo Dewji lina namba za usajili za Msumbiji

    Picha zinaonesha gari ilkua imepak, maana yake kama wamepiga picha gar, bas na mhusika wa hiyo gar wanamjua, je wameshindwaje kumpata Mo kama Dereva aliyembeba wanamjua??
  8. Hamul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Otile ameangusha nyingine bonge la

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] wew Congo ilkua enzi hizo, Senegal ndo kabisa, yaan apo labda SA na Nigeria ndo wanatuzid wengine kapuni
  9. Hamul

    JamiiForums Tanzania Serikali inahujumu Mawasiliano waziwazi. Huwezi kulazimisha mtu atumie Laini moja wakati Telecom Companies are not stable.

    We jamaa hujielew kabisa, umekua blinded na love kwa watu ad wakifanya ujinga huwez elewa ni ujinga
  10. Hamul

    JamiiForums Tanzania Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima

    Wewe ulimsaidia, si alitangaza kuomba msaada kwny media, naona umekomaa na mond tuu.
  11. Hamul

    JamiiForums Tanzania Nimeota Man Utd ametolewa kwenye UEFA

    Wew vp chelsea sio man u kesho muda huu utakuja nisimulia nin kimetokea, sometimes football goes with lucky, the luckiest wins and not the best.
  12. Hamul

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

    Na unaonekana umekubuh kwel kulala na hao mababa
  13. Hamul

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

    Yaan unachepuka af unasema mihangaiko, jamaa yako ana kaz kwelkwel
  14. Hamul

    JamiiForums Tanzania Nini husababisha nyeti za mwanamke kuungua?

    Duuuh
Back
Top Bottom