mpemba mbishi unaongea ukweli mtupu mkuu kuhusu hamad rashid muhamed,kwani mkutano wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mkuu,ulifanyika uwanja wa gombani ya kale pale chake chake,:A S 465:alisema usia wa baba yake ni kuhakikisha awe na heshima na adabu kwa seif sharif hamad, muulizeni je...