MASWALI: Wana CUF naomba msaada!

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,803
1,416
Juzi nilimsikia Maalim Seif akiwaambia wakazi wa Arusha kumchagua Profesa 2015, maana Zanzibar washamjua rais wao 2015. Hivi tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa Tanzania, Seif na Lipumba ndio wagombea kila chaguzi kuu.
1) Je ndani ya CUF hakuna watu wengine wenye uwezo wa kugombea?
2) Je machafuko Zanzibar yalikuwa ni Uroho wa Seif kutaka madaraka?
3) Nani ananufaika na serikali ya Kitaifa? (maisha ya Wazanzibar bado duni, police bado wanapiga mabomu kila week)
4) Kama Zanzibar now shwari, mbona uchaguzi wa Bububu (CUF na CCM) kulitokea fujo kubwa?
5) Nini tofauti ya Muafaka wa Seif na Karume kulinganisha na Muungano wa Nyerere na Karume?
 
Sidhani kama wana majibu ya maswali hayo.
 
Cuf ni chama kipofu hakijui kinakoelekea..
 
Lipumba na maalim seif mpaka kieleweke kwa tanzania,kila uchaguzi ndio wagombea au washinde urais,hilo mbona lijulikana wala si lakujenga hoja,na chadema mwaka 2015 tunawaomba muunge mkono lipumba ili awe rais wa tanzania,kwa zanzibar seif ameshinda ..
 
Cuf inaendeshwa kwa ushauri wa wanajimu na wabashiri wa nyota

teh..hata prof yupo ktk business ya kuibina nyota?kweli hii ilmu ni kiboko.hata prof anaingia line ingawa hajawahi jiuliza kwa nini hawajaweza tengeneza rocket waende hata kwenye mwezi.

Tumtafute barubaru atupe utabiri cuf wamefikiwa wapi kwa uzoefu wake wa nyota.
 
Mapinduzi daima, huku wazee siasa za mwamsho zitampotema Seif Sharif ADC wamekaa vizuri huku pemba kugawa kura za Cuf ukipita maeneo ya vitongoji, shengejuu, na maeneo ya mapofu ni ADC tu, wakati wanadhani wamemaliza huku Pemba wanashuhulikia unguja kupitia uamsho,
CCm wamewaweka bz kuhangaika na CDM wakijashtuka wamekosa kote, hawapo strategic kabisa hawa watu.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom