Recent content by Hamud Nassor

  1. H

    Mpenzi wangu anavituko

    i mean nataka anitoke moyon mwangu maana naumia kila siku
  2. H

    Mpenzi wangu anavituko

    thank u we umenielewa vzr
  3. H

    Mpenzi wangu anavituko

    Please wanajamii wenzangu, Mpenzi wangu ana vituko vingi sana, nimejaribu kumvumilia lakini nimefikia hatua nimechoka. Naomba mnishauri ili nimsahau kabisa akilini mwangu, maana nampenda sana. Kiufupi ameitawala akili yangu, nataka tuachane lakini bado nampenda. Naomba ushauri wenu...
  4. H

    Msaada wa kufaham ku unlock sim kwa kupress button

    Habari zenu wana jamii naomben msaada wa kufaham namna ya kutoa password kwenye sim zilizojilock kwa kubonyeza button natakiwa nifanye vip
  5. H

    Neno 'munyu' limetokana na lugha ipi ya kibantu

    waha wa kigoma wanalitumia kama chumvi
  6. H

    Selection Kidato cha Tano 2014/2015: Majina yote haya hapa

    iko mkuranga mkoan pwani hata mm n mmoja kati ya wanafunz waliopangiw kama vp tubadilshane contact
  7. H

    wenye div 3 hawaendi kidato cha tano

    jaman na mimi ni miongoni mwa wanafunz hao na nina 3 ya 27 yaan mawazo hapa yamejaa kama hatutachaguliw watakua wametuonea yaan nina C 4 na B 2 Na D 1
  8. H

    Selection post lini kidato cha tano 2014 /2015

    et kesho kutwa ndio zinatoka dah yaan mawazo kupwa na kujaa na nan anasema et three hawaend advanc......ikiwa hvy siwapi kura yang ccm
Back
Top Bottom