Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,976
one mpka three n shule,asikuchanganye mtu
Kama una majibu mboba unauliza?
one mpka three n shule,asikuchanganye mtu
Jaman polen sana amjasikia tamko la serikali?
Jaman polen sana amjasikia tamko la serikali?
Tusibiri tu hii ndo ccm
Msomi wewe CCM inaingiaje hapo ?
Hebu tulia tu vitu vyote hivi vyakupotezea muda?
Mi nakuwa bored sana vijana mnapohalakia !
Mbona maisha matamu tu ! Nunua Mpira na jezi kama alivyofanya fungi ! Anapiga zoezi tu
Battery low sahizi kanunua P5 ana surf tu !
kaparo aloizay anavizia wanafu........ No joking buddy Relax !
Shule zote za Kanisa katoliki wanamaliza baadhi ya topic za form five..