Recent content by hammies

  1. hammies

    Clouds mmechanganya siasa na biashara, sasa mjiandae kupokea matokeo ya maamuzi yenu

    Bhh Hakika kabisa wale vijana wameanzia Mbali sana na wala hawajapata msaada wowote kutoka kwa Wanasiasa.
  2. hammies

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Kwa makala yako hii isiyo na 'Kichwa wala Miguu' sijui umelipwa kiasi gani ili uandike habari hii ya kumtetea 'Mhalifu'?
  3. hammies

    Makonda Alienda Clouds Kufuatilia Documentary Yake ya Mwaka Mmoja Madarakani

    Kufuatilia documentary yake huku akiwa na askali wenye silaha? Kwani lazima uanzishe Uzi?
  4. hammies

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Ama kweli 'wajinga ndiyo waliwao' ni bora ukakaa kimya tu!!!!
  5. hammies

    Mwalimu Nyerere pia alikuwa na vyeti vyenye majina tofauti

    Hii story ya Mwalim Nyerere inahusiana vipi na zoezi la uhakiki wa vyeti lililoanzishwa ktk awamu hii ya uongozi?
  6. hammies

    Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?

    Pamoja na yote lazima Mayahudi yata salenda!
  7. hammies

    Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?

    Dini gani inayorusu kuua nafsi bila hatia? Na siyo Waarabu wote wana dini moja. Kuna mpaka Wapagani kule au we hujawahi kufika Misri?
  8. hammies

    Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

    Mwanasheria gani anaye angalia upande mmoja? Mbona hutuelezi na upande wa pili, je Gwajima ametendewa haki ktk tuhuma zile?
  9. hammies

    Ramadhani Rashid Madabida na Sophia Simba: Je, wamefanya aliyofanya msaliti Alexandar Tobias?

    Kwani hao akina Mangi Mareale na Dk Kiliro waliunda chama gani cha siasa ktk harakati za kudai Uhuru wa Tanganyika?
  10. hammies

    Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    Kwani kuna mtu anaye mponda ktk juhudi zake za kutafuta mafanikio? Ila inawezekana alitumia njia 'ovu' ktk kufika alikokutaka!!!!
  11. hammies

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Very nice comment ever!
  12. hammies

    Yussuf Manji, Omba Toba

    Unauziwa Mali za Waislam kifisadi halafu unasema zimeuzwa kihalali? Mbona Magufuli ameuona ufisadi ule na kuahidi kuushughulikia? Lkn wenye chuki watabariki uuzwaji wa Mali za Waislam bila aibu. Shame on you!!!!
  13. hammies

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Riwaya ya kufunga mjadala? Au zoezi la uhakiki wa vyeti Nchini ni kwa wanyonge tu?
  14. hammies

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Riwaya ya kufunga mjadala? Au zoezi la uhakiki wa vyeti Nchini ni kwa wanyonge tu?
Back
Top Bottom