Recent content by Hamisi R Mhenwa

  1. H

    HONG KONG: Watumishi wawili wa shirika la ndege la Afrika Kusini(SAA) wakamatwa wa kusafirisha dawa za kulevya

    Dunia hii ili vituko hivi viishe tunapaswa tupate elimu ya kuyatumia mazingira yetu. Nini hitaji la watu wetu bado viongozi hatujajua, tujiulize ni mara ngapi wanaokamatwa na tukajiuliza ni mara ngapi janga hili la vijana kujiunga na hili janga la kuharibika
  2. H

    My ex-husband hired a hitman to kill me, woman painfully narrates

    Loooh! ama kweli dunia ina mambo, na faida yake aliyemuunguza ni nini? Ndugu zangu kuachana isiwe nongwa tukubali kuwa hutoshelezi basi kila mmoja aende kujimwaya mwaya kivyake.
  3. H

    Maurice: Jogoo mwenye kelele nyingi ashinda kesi dhidi ya majirani zake

    jogoo ashinda kesi dhidi ya wale wasiojua umhimu wa uumbaji wa mungu. Hapa ni sawa na kumwambia mtu kilema atembee mwendo unaoutaka wewe ikiwa ni kawaida yake kuwa hivyo. Hawa wamestaafu mpaka kufikiri. Dah! Wastaafu oyeeee
  4. H

    Serikali kupitia upya sera ya kilimo iliyopo sasa kwani ndio chanzo cha wakulima kuwa maskini

    ndugu zangu wanajamii forum hapa mimi sijaelewa ni sera ipi ya kilimo mnaizungumzia maana sera zote kagueni kama zinahitilafu halafu tuje na hoja humu. Sera haina shida kwa mtazamo wangu, wenye shida ni watekelezaji na wanaoitafsiri hiyo sera. Kitu ambacho sisi hatujaweza ni kujifunza kutumia...
  5. H

    Serikali kupitia upya sera ya kilimo iliyopo sasa kwani ndio chanzo cha wakulima kuwa maskini

    Hapa hakuna cha sera wala nini, nchi ipate akili ya kupatia watu visima na mabwawa watu wafanye umwagiliaji. Na hivi sua inazalisha hao watu wameajiriwa wapi na wamepewa vitendea kazi gani sasa. Tufikirie mara mbili chuo cha kilimo bali sijawahi kusikia wameweka kambi kila mkoa, waliowekwa mikoa...
  6. H

    Rais Ramaphosa: Nilipokea vitabu vya Kiswahili, nimejifunza kwa juhudi kubwa. Sasa, kila Jumatatu nazungumza Kiswahili

    kila jambo lina pande mbili ndugu zangu, kuna faida na hasara. Mimi naona inaweza kutupeleka mahala pazuri tukiungana kiuchumi ili tukiwa tunawasiliana tusipate tabu. Mfano tukiongilia kibiashara, kiteknolojia hata kielimu tunaweza kukuza uchumi binafsi, kijamii na kwa nchi kwa ujumla. Hapa...
  7. H

    Dkt. Bashiru ampinga RC Chalamila kuhusu chama kimoja amtaka arudi shule kujifunza siasa

    Hapa kunaonekana watu wanafikiria kutumia kichwa kweli. Kama ni hivyo viongozi wetu mtafanya vizuri. Mkiwa tayari kuwakomboa watanzania kifikira rejeeni mtengeneze elimu ya Tanzania vizuri. Tupate waziri anayetambua vyuo vya ufundi hapa Tanzania itakuwa kiuchumi kama kweli mmeamua kuwapa watu...
  8. H

    Kesi ya Ado Shaibu dhidi ya Rais Magufuli kutajwa leo Mahakama Kuu..

    kweli muda ukifika watu wazima kuacha kufikiria kitoto basi tutafika pahala nchi itapata maendeleo. Hatuwezi kukua kama tutembea kwa kuyumbayumba kama walevi. Ikulu ni mahala pa takatifu mimi sikuchaguliwa na wananchi kuja kupageuza kuwa tangu la walangusi. Tukitembea na maneno hayo vichwani...
  9. H

    IGP Sirro: Tutafuatilia kuhusu kifo cha Mengi ila tumalize msiba kwanza

    kipindi kikifika watu wazima wakaacha kuwaza kitoto hapo pengine tutafika. Tukumbuke kuwa binadamu ana sehemu mbili tu za kuwaza. 1. Anawaza kwa uzuri (positive thought) siku zote ukiwaza vizuri kuna siku utapata idea 💡 ambayo itakuwa na taa katika maendeleo yako, jamii na taifa kwa ujumla. 2...
  10. H

    Asilimia 61 ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania hawafai kwa ajira

    well! Tunaweza kuchukua tafakari ndogo tukisemea "poor curricula, lack of appropriate facilities and lack of skilled lecturers" lakini tukiendelea kwenda ndani zaidi wanachuo wengi they are interested but not committed pia wamekosa soft skills ambazo zingeweza kuwasaidia. Tukizama kwa ufupi...
  11. H

    Benin: Upinzani wazuiliwa kushiriki uchaguzi

    Haki za binadamu wameendaga wapi? Paza sauti kwenye hili...
  12. H

    Benin: Upinzani wazuiliwa kushiriki uchaguzi

    Ni haki na wajibu wa kuzuiliwa kwa kutotimiza masharti sheria, hili nakubali. Tutazame upande mwingine tuje tuiite ni haki ama sio, ama ni democrasia ama sivyo. Ni kitu gani haswa kinapelekea hawa watu kushindwa kuchangia na sheria hii imetungwa lini mpaka chama kinashindwa, kama sio habari ya...
  13. H

    Vyakula vinavyoongoza kuongeza akili kwenye ubongo

    Ni vyakula vipi vingine ambavyo vina madini ya 'Zinc'
Back
Top Bottom