Recent content by HAMISI Nuru

  1. HAMISI Nuru

    Nafasi ya Kazi: Radiographer anatafutwa

    Habari mkuu, naweza naweza kutuma maombi kufundisha masomo ya Entrepreneurship kwa kozi ya Pharmacy?, Nna uzoefu wa kufundisha kozi za business na u-examination officer
  2. HAMISI Nuru

    Upofu wa Padri Kitima unahitaji neema ya Mungu

    Naona uchawa unazidi kuwa ni adui mkubwa wa maendeleo nchini
  3. HAMISI Nuru

    Natafuta NGO's yoyote ya kujitolea hata bure

    Habari zenu, Msaada kwa mtu yeyote anaejua NGO's yoyote ambayo naweza nikajitolea hata bure niwe nafanya kama part time muda ambao nakuwa nipo tu sina cha kufanya ni bora kujitolea katika jamii kuliko kukaa bure tu na kupiga zogo. Conditions zangu ni 1. Shirika liwe Dar es salaam 2. Niwe...
  4. HAMISI Nuru

    Nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme. Je, naweza kupata wapi?

    Nnayo mashine ya Juisi ya miwa inayotumia umeme, ofa yako ngapi?
  5. HAMISI Nuru

    Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje?

    Kwa Dar es salaam maeneo yote ni potential especially kwa biashara hiyo ya unga wa chakula, sema tu ucheze na washindani wako bei msipishane sana wewe huwe chini Yao walau kwa shilingi 100 au 200 na pia huwe makini kwenye fremu utakayoipata usijikute unalipa kodi kubwa sana kwenye fremu ukatoka...
  6. HAMISI Nuru

    Vyama vya Ushirika

    Habari zenu wakuu, samahani naomba kuuliza kwa Dar es salaam ni vyama gani vya Ushirika ambavyo vipo vizuri katika kuinuana kiuchumi? Natanguliza shukrani
  7. HAMISI Nuru

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Ada ya Masters of Business Administration (MBA) ni kiasi gani na ya Masters of Business Administration in Project Planning ni kiasi gani?
  8. HAMISI Nuru

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Nna shauku ya kusoma Masters lakini hiwe ni Scholarship ya ndani ya nchi au nje... Tafadhali wakuu mkiwa na link mtusaidie humu tufanye maombi
  9. HAMISI Nuru

    Naleta wateja kwenye biashara yako/company, unanipa commission

    Mimi kijana/mpambanaji mwenzako na ni graduate pia nafanya biashara za kuuza slimming products (dawa za kupunguza vitambi, uzito na unene na nyenginezo) lakini sina ofisi nafanya delivery Kwa mteja ndo analipa. Kama upo willing unaweza kunicheki nikakupa maelekezo ya bidhaa hizo na picha za...
  10. HAMISI Nuru

    Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    Epuka kula vyakula vyenye mafuta, sukari na vyakula vyote vya kusindikwa, vinywaji vyote kama vile Juisi za viwandani, Soda na Pombe za vimea(bia)...Pendelea kula vyakula vilivyopikwa kwa njia ya chukuchuku(kuchomwa au kuchemshwa)...kula matunda au juisi za matunda zisizo za viwandani, kunywa...
  11. HAMISI Nuru

    Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    Kwa mahitaji ya dawa za kupunguza unene, kitambi na nyama uzembe napatikana kwa namba 0679094097 na 0689094097 nafanya delivery
  12. HAMISI Nuru

    Mwenyekujua bei ya mabati msouth g 28 futi kumi

    Hizo bati 28G 95cm upana wake 3 miter urefu Hazipauki Ni bati zimetoka Uturuki sio za Bongo kuna mtu amezileta zipo nyingi sana. Bei yake ni elfu 48 tu Kama ukiwa fresh njoo ukague mzigo 0689094097 0679094097
  13. HAMISI Nuru

    Online Marketing connection

    Nitext WhatsApp kwa namba hiyo ntakuunga ndugu yangu
Back
Top Bottom