Recent content by hamis2

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    kaka nimeshakutumia namba
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    Mkuu nimekujibu tiyari PM, naomba uangalie! nashukuru sana mkuu na Mungu azidi kukujalia
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    sawa mkuu nashukuru na nakusubir PM
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    mkuu naelewa sana unachokizumgumzia,nashukuru sana kwa ushauri wako! mkuu back up plan ninayo na pia kuhusu huyo atakayenipa mkopo huo nataka niongee nae tuone ananipa kwa riba kiasi gani na kila baada ya muda gani au ananikopesha/kunipa pesa kwa misingi ipi na ipi! mkuu naelewa sana...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    asante mkuu wa comment yako
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    Mkuu samahani kama nitakukosea nitakavyojibu!! sikutaka kujibu zaidi lakin bado naona unanifanya naonekana muongo muongo hata kwa watu labda wenye nia na uwezo! dada angu kuna mambo nimekujibu vizuri tu 1. swala la kufanya kazi yoyote ile kwenye tangazo langu nilisema hivo kwamba...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    mkuu samahani, lakin umesoma thread kweli????
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    mkuu nimejirleza vizuri n na namba nikatoa ila still naonekana mi tapeli! ila tuachane na hayo nafikiri hii no challenge mojawapo hata kwa mkulima anapata challenge zake! so ni kwakuwa tuko field tofauti ila one day yes
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    mkuu PM hamna kitu cha ajabu zaidi ya namba tu ya simu labda na yule aliyeniuliza kama nasema uongo kuhusu kwamba sijamaliza chuo! nimemueleza vizuri PM na nikamwambia kuwa ni kweli sijamaliza chuo sababu ya kifedha so mimi kusema sina cheti ni kwamba nimeona tu nisiseme vile maana nilishaleta...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    mkuu hata sielewi wapi naonekana mi muongo, kila kitu nimeelezea vizuri na nimemPM vizuri tu but still ananiona mimi muongo but anyway things will be okey
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    asante brother kwa kuliona hilo! ila kitu kimoja wanasema one of feature of being an interpreneur is ability to endure a lot of pain for a long period of time
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    nimekuPM maana kwa sababu mwanzoni nilisema kama kuna mtu mwenye nia ya kunisaidia basi ili apate uhakika zaidi kama atataka kuniuliza chochote zaidi aniPM
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    basi ntakuPM
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    mkuu kumbe umenielewa vizuri, japo hata hiyo ya zege sijaikataa ila nimesema tu kwa kuwa hili tatizo ni la haraka ndo maana nikaomba hata kama bado mtu yupo mwenye nia na uwezo nahitaji msaada wake wa kunikopesha hicho kiasi! na nikasema atakayehitaji details zaidi kama tataka kunisaidia aniPM...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    da!!!aiseee basi sawa dada tuishie tu hapa ila asante kwa challenge ulionipa!!
Back
Top Bottom