Recent content by hamida ally

  1. H

    GE2010 Wengi hawajui Nguvu ya Maaskofu

    siasa ni ya wote mtu asijidai kujiita ye mwanasiasa,basi kura wangepiga wenyewe,maaskofu na viongozi wa deni wote wanapiga kura na ndo wanasababisha siasa kuwepo hapo bila wapiga kura kungekuwa na siasa?waacheni waongee wanahaki kuzungumzia madaraka waliowapa watu, mbona kwenye kupiga kura...
  2. H

    Toa Rambirambi yako hapa

    SINA MENGI NAWAPA POLE SANA watanzania wote kwa msiba huu kwa sababu hawa ni mashujaaa wa taifa.
  3. H

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    jamani Tujaribu kuongea tunachokijua.
  4. H

    CHADEMA sasa YATIKISHA NCHI..Idara zote serikali hapashikiki!!

    kwanini hapashikiki?si wajiamini na kazi zao?
  5. H

    CHADEMA sasa YATIKISHA NCHI..Idara zote serikali hapashikiki!!

    nimesikitishwa sana na vifo vya watanzania wenzetu iliosababishwa na watu wachache wanaoangalia maslahi yao wenyewe bila kuangalia mtanzania wa hali ya chini. eeeeeeeeeeeee M/mungu sikia kilio cha watanzania wanyonge wananyong'wa kwa kutafuta haki yao. viongozi tuliowapa madaraka...
  6. H

    DOWANS: Slaa ulituongopea!

    watuhakikishie kwa kumshitaki slaaaaaaa
Back
Top Bottom