Mwema anasubiri nini?anafanya kaz kwa ramli,yani wao waliamini vurugu zngetokea?halafu hazkutokea,then wakazianzisha vurugu ili waonekane ni watendaji,kama ni kwel watu walitembea km 2 bila vurugu how comez zimeibuka?mwema ni msomi bt hajaelimika,pia wizara anayoiongoza nahodha haina tofaut na ile aloiongoza mapuri,si mwakumbuka yule mzanzibar MAPURI alivoliamrisha jesh la magereza kuwatwanga raia?
Pamoja na hayo kwanini nchi ye2 haipend kuchukua tahadhari?watendaji wote wa tanzania husubiria impakts,tazama migomo ya vyuo vikuu,wanafunz wakigoma mambo yao hutekelezwa,ah
Pamoja na hayo kwanini nchi ye2 haipend kuchukua tahadhari?watendaji wote wa tanzania husubiria impakts,tazama migomo ya vyuo vikuu,wanafunz wakigoma mambo yao hutekelezwa,ah