Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

hii inadhihirisha kuwa huyu makamba kazeeka na akijui chama vizuri na ni mnafki tu,badala ya kulilia maafa analilia mali za chama si upumbavu huu jamani?
 
anatumia biblia kwa sababu ni rahisi kwa chadema kuelewa, si umeona hata wote walioshitakiwa ni waumini zaidi wa kitabu hicho

umewatambuaje kuwa ni waumini wakitabu cha Biblia? maana waumini wa Kitabu cha Biblia hawatambuliki
kwa kuvaa matenity, kanzu, majoho, ama kwa sigida pajini mwa uso ama kwa kutokula nguruwe
wala hawatambuliki kwa majina kama juma, side boy
 
anatumia biblia kwa sababu ni rahisi kwa chadema kuelewa, si umeona hata wote walioshitakiwa ni waumini zaidi wa kitabu hicho
Hapana, anatumia biblia kwa kuwa angetumia quran angelazimika kuunga mkono mauaji, kwani quran inalazimisha mauaji
 
Kwani nchi inatawaliwa na Biblia? Huyu mzee hovyo kabisa.

Makamba hana hoja, umempa jibu zuri! Atufafanulie nchi hii inatawaliwa kwa mujibu wa katiba ya JMT au Biblia?
Hata hivyo tulikwisha mzoea yeye ni mlopokaji tu.
 
Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema Thursday, 06 January 2011 20:50 0diggsdigg

Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amekilaumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kile alichoeleza kuwa kimekaidi amri ya mamlaka halali na kufanya maandamano yaliyoleta vurugu na maafa.

Akizungumza na gazeti hii jana, Makamba alisema kitendo kilichofanywa na Chadema ni cha kinyama na kinapaswa kulaaniwa na watu wote wanaoitakia mema nchi hii “Ukisoma Biblia katika kitabu cha Warumi Sura 13, imeandikwa " Itiini Mamlaka inayowazidi nguvu; hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu," alisena Makamba na kuaongeza: "Sasa mamlaka imesema msiandamane, ninyi mnaandamana.

Nasema hawakufanya vizuri. Sasa tumlaumu nani kama sio Chadema." Makamba alisema haoni sababu Chadema kuandamana kwa sababu ya suala la Umeya, kwani kama hilo ndio sababu, alipaswa kwenda mahamani kudai haki wanayoeleza kuwa imeporwa na CCM badala ya kufanya maandamano yenye madhara kama hayo.
"Kama hoja ni umeya, huwezi kudai unayoamini imeporwa kwa maandamano, haki inapatikana mahakamani.

Sasa Mimi (Makamba) nawapa pole walioathirika na maandamano hayo lakini pia nalilia mali za CCM zilizoharibiwa. Gari la katibu wangu wa Mkoa limevunja vioo na ofisi yetu imeharibiwa vibaya," alisema Makamba mwisho

Source:Mwananchi

Huyu mzee kalaaniwa watu wamepoteza maisha yeye anasikitikia mali zilizoharibika.Upuuzi tu.

Anasahau kuwa hata hiyo Biblia hairuhusu kuchakachua madaraka, wala kuwapiga wananchi. Wananchi walikuwa wanaandamana bila kukusudia kumdhuru mtu, polisi wakaingilia kati Makamba alitegemea nini katika hilo? Pia kama mkutano wa hadhara uliruhusiwa walitegemea watu wafikeje uwanjani bila kuwa kwenye makundi??? Hayo hayakuwa maandamano bali safari ya kwenda uwanjani kwenye mkutano wa hadhara. MAkamba akaipitie Biblia upya na kutuambia ni kifungu gani cha Biblia kimeruhusu watu kupigwa na kuuawa??
 
pili kwa nini antumia Biblia na sio Qur'an? au ndio kuhitimisha maelekezo ya bwana wake Kikwete CHADEMA ni cha wakristo? Hekima hamna hapo
 
Kama viongozi wa dini wanakaa kimya Pale Makamba anaposoma Biblia kichwa chini miguu juu,basi dini ya Kikristu nayo inaelekea kuchakachuliwa. Makamba Biblia si Imani ya CCM ambayo wewe na wenzako mmeichakachua kwa kupoteza ule usawa wa watu na kuweka matabaka kati ya nyie MAFISADI na WANYONGE! Hivi we mzee Mamlaka iloyoko chini ya katiba mbovu ikisema kaue utafanya? Probably akili zako zinaweza kukubali,au unakataa?
 
Kumbe s.Mwema alipozuia kuandamana alimaanisha kwamba atakayejaribu kuandamana anauwawa kwa risasi!!. Mgosi tumekupata. Mbeleko yako sasa si tu imechakaa bali haipo kabisa.

Halafu wewe Mgosi, unasikitikia gari!!??? hela za kulinununa ulito wewe??
 
Mamlaka iliyoko chini ya katiba mbovu ikimwambia makamba aue anaweza kukubali? Probably mzee huyu anaweza maana uzoefu unaonesha mamlaka hiyo hiyo imemuweka mamlakani mwalimu wa skuli ya msingi aliyebaka!
Viongozi wa dini mnavyokubali Biblia takatifu inavyochakachuliwa na Mzee huyu kilaza wa Theolojia,basi dini ya kikristo inaelekewa kuchakachuliwa! ZINDUKENI!!
 
Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema Thursday, 06 January 2011 20:50 0diggsdigg

Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amekilaumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kile alichoeleza kuwa kimekaidi amri ya mamlaka halali na kufanya maandamano yaliyoleta vurugu na maafa.

Akizungumza na gazeti hii jana, Makamba alisema kitendo kilichofanywa na Chadema ni cha kinyama na kinapaswa kulaaniwa na watu wote wanaoitakia mema nchi hii "Ukisoma Biblia katika kitabu cha Warumi Sura 13, imeandikwa " Itiini Mamlaka inayowazidi nguvu; hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu," alisena Makamba na kuaongeza: "Sasa mamlaka imesema msiandamane, ninyi mnaandamana.

Nasema hawakufanya vizuri. Sasa tumlaumu nani kama sio Chadema." Makamba alisema haoni sababu Chadema kuandamana kwa sababu ya suala la Umeya, kwani kama hilo ndio sababu, alipaswa kwenda mahamani kudai haki wanayoeleza kuwa imeporwa na CCM badala ya kufanya maandamano yenye madhara kama hayo.
"Kama hoja ni umeya, huwezi kudai unayoamini imeporwa kwa maandamano, haki inapatikana mahakamani.

Sasa Mimi (Makamba) nawapa pole walioathirika na maandamano hayo lakini pia nalilia mali za CCM zilizoharibiwa. Gari la katibu wangu wa Mkoa limevunja vioo na ofisi yetu imeharibiwa vibaya," alisema Makamba mwisho

Source:Mwananchi

Huyu mzee kalaaniwa watu wamepoteza maisha yeye anasikitikia mali zilizoharibika.Upuuzi tu.

Tukumbuke hata Ibilisi alitumia vifungu vya Biblia kumjaribu Yesu Jangwani...alipokuwa anamwambia "..unajua imeandikwa kuwa...! ...imeandikwa...., imeandikwa....!" yote haya alikuwa ana-refer utabiri kuhusu Yesu ulioandikwa ktk biblia - vitabu vya manabii, kuwa iwapo angekumbwa na tatizo lolote ilikuwa imeandikwa tayari kuwa Mungu angetoa suluhisho kama manabii walivyokwishatabiri.

Sasa, Kwa hiyo Makamba kutumia Biblia ni sehemu ya kukamilisha uovu wake maana ilishatumiwa pia na 'baba wa uovu' yaani Ibilisi.

Yeye ni kati ya wazee waliofilisika vibaya na ktk vurugu za Arusha, angekuwa hata na busara - nusu ya Lowassa (Mzee wa Richmond), angelitambua kuwa mazungumzo aliyomaanisha Lowassa, na pia mgombea- Umea wa Chadema akasisitiza kuwa ingekuwa jibu sahihi, yeye mzee Makamba aliona kama wote hao walikuwa wanaongea Kichina au Lugha ya Sayari nyingine, na ndiye yeye aliyesema CCM (na Serikali yake) haina lolote la kuongea na Chadema.

Sasa aibu yake ndio anaificha kwa kutumia Biblia, na Serikali imeshatangaza kulamba matapishi ambayo Makamba alitapika na kuyakana!! Aibu iliyo namna gani? Na watu kama hawa ndio watendaji wanaoaminika? Ndio maana CCM inakufa kila kukicha!

Umeya Arusha lazima urudi kwa Chama cha Umma, Chadema...period!!
 
Ishara nyingine kuwa Udini Tanzania unatokea katika uongozi wa juu wa chama tawala.
1) Matumizi ya imani ya Utatu huko Sumbawanga
2)Hii tafsiri potofu ya maandishi ya Biblia

Kutokana na tafsiri ya matamshi ya Mzee Makamba, basi
a)Kupigania uhuru ilikuwa ni makosa
b)Tanzania kuunga mkono na kushiriki kuzikomboa nchi za kusini mwa Afrika ilikuwa ni makosa.
c)Sudan ya kusini wanaopiga kura ya maoni keshokutwa wanafanya makosa
d)Babu wa Mzee Mkamba waliompinga mkoloni walifanya makosa
............Ningeweza kuendelea

Ingekuwa bora kama uongozi wa juu wa CCM ungempunguzia madaraka Mzee Makamba kabla hajateleza zaidi.

Halo umenikuna sana.Ila tumsamehe huyo mzee ni tahila au chizi.Tatizo ni mkwere the foolish of foolish.
 
Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema Thursday, 06 January 2011 20:50 0diggsdigg

Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amekilaumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kile alichoeleza kuwa kimekaidi amri ya mamlaka halali na kufanya maandamano yaliyoleta vurugu na maafa.

Akizungumza na gazeti hii jana, Makamba alisema kitendo kilichofanywa na Chadema ni cha kinyama na kinapaswa kulaaniwa na watu wote wanaoitakia mema nchi hii “Ukisoma Biblia katika kitabu cha Warumi Sura 13, imeandikwa " Itiini Mamlaka inayowazidi nguvu; hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu," alisena Makamba na kuaongeza: "Sasa mamlaka imesema msiandamane, ninyi mnaandamana.

Nasema hawakufanya vizuri. Sasa tumlaumu nani kama sio Chadema." Makamba alisema haoni sababu Chadema kuandamana kwa sababu ya suala la Umeya, kwani kama hilo ndio sababu, alipaswa kwenda mahamani kudai haki wanayoeleza kuwa imeporwa na CCM badala ya kufanya maandamano yenye madhara kama hayo.
"Kama hoja ni umeya, huwezi kudai unayoamini imeporwa kwa maandamano, haki inapatikana mahakamani.

Sasa Mimi (Makamba) nawapa pole walioathirika na maandamano hayo lakini pia nalilia mali za CCM zilizoharibiwa. Gari la katibu wangu wa Mkoa limevunja vioo na ofisi yetu imeharibiwa vibaya," alisema Makamba mwisho

Source:Mwananchi

Huyu mzee kalaaniwa watu wamepoteza maisha yeye anasikitikia mali zilizoharibika.Upuuzi tu.

mwambie asome biblia hiyo hiyo Yohana 11:50 "Je hamwoni kwamba ni afadhali kwenu mtu mmoja afe kwa ajili ya watu,kuliko taifa zima liangamizwe?"
 
Huyu mzee CCM imemchanganya. Ukiwa ccm kamwe haki hutatenda. Mungu anamakusudi makubwa, CCM haina mda itavanishi wajiandae.
 
Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema Thursday, 06 January 2011 20:50 0diggsdigg

Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amekilaumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kile alichoeleza kuwa kimekaidi amri ya mamlaka halali na kufanya maandamano yaliyoleta vurugu na maafa.

Akizungumza na gazeti hii jana, Makamba alisema kitendo kilichofanywa na Chadema ni cha kinyama na kinapaswa kulaaniwa na watu wote wanaoitakia mema nchi hii “Ukisoma Biblia katika kitabu cha Warumi Sura 13, imeandikwa " Itiini Mamlaka inayowazidi nguvu; hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu," alisena Makamba na kuaongeza: "Sasa mamlaka imesema msiandamane, ninyi mnaandamana.

Nasema hawakufanya vizuri. Sasa tumlaumu nani kama sio Chadema." Makamba alisema haoni sababu Chadema kuandamana kwa sababu ya suala la Umeya, kwani kama hilo ndio sababu, alipaswa kwenda mahamani kudai haki wanayoeleza kuwa imeporwa na CCM badala ya kufanya maandamano yenye madhara kama hayo.
"Kama hoja ni umeya, huwezi kudai unayoamini imeporwa kwa maandamano, haki inapatikana mahakamani.

Sasa Mimi (Makamba) nawapa pole walioathirika na maandamano hayo lakini pia nalilia mali za CCM zilizoharibiwa. Gari la katibu wangu wa Mkoa limevunja vioo na ofisi yetu imeharibiwa vibaya," alisema Makamba mwisho

Source:Mwananchi

Huyu mzee kalaaniwa watu wamepoteza maisha yeye anasikitikia mali zilizoharibika.Upuuzi tu.

Pore mkamba unararamika mali unaachakulalamikaloho za wa tz zirizopotea hizomalinizawa tz waliopotezaloho nimiongoni mwahaowenyemali hizomali zinatokanana kodi zetu nashanga unakuwanauchungu maziwakumwagika ngo'mbe akifa unaonasawa unakipeleka wapi? chama
 
Back
Top Bottom