Recent content by Hamatan

  1. H

    JamiiForums Tanzania Makonda: Serikali haiendeshwi kwa presha ya maneno

    Wewe kweli mwendawazimu aliyrkosa hata akili tu ya kujitambua ni mwendawazimu. Serikali inayoteka na kuua wananchi, kubambikia watu kesi, kufisadi rasilimali za nchi na kuwagawia waarabu, ndiyo serikali sikivu!! Ni sikivu, inamsikiliza nani zaidi ya waporaji wa rasilimali za nchi na hao watekaji...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

    Huyu mleta mada mhesabuni ni mwendawazimu mwongo. Mleta mada alivyo punguani, anafanya uwongo ambao ni wa wazi kabisa! Rose, Sativa, hawapo Kenya. Serikali ya Kenya hakuna wakati ilipokubali maombi ya wauji ya kutaka Watanzania waliokimbilia nchini kuokoa maisha yao warudishwe Tanzania. Ndipo...
  3. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: John Pambalu akamatwa na kupelekwa Central Police Arusha

    Kama lingekuwa linashughulikia wahalifu wa kweli, wewe usingekuwa mtaani.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

    Asili yake ni Mzanzibari. Kwa sasa ni Mtanganyika bandia, kwa sababu mama yake ambaye alikuwa mzanzibari aliolewa na mgogo.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

    Usimkufuru Mungu. Fanyeni hadaa zenu zote huko, lakini msitafute laana ya Mungu kuifungamanisha CCM na shetani CCM. Wakati ulio sahihi Atawaonesha kuwa CCM ni genge la maharamia wanaomtumikia kwa uaminifu Ibilisi shetani.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

    Mbona wewe ndiye uliyeandika dhahiri kama mwendawazimu! Weka hoja, kama una akili timamu. Kama huna, hakuna mwenye uwezo wa kukusaidia.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa Paul Makonda akiwa Rais wa Tanzania anajua njia za kushika madaraka

    Yaani itakuwa ni laana kubwa! Yaani atoke kilaza muuji halafu tena aje kilaza muuaji!! Itakuwa ni laana ya ajabu.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa Paul Makonda akiwa Rais wa Tanzania anajua njia za kushika madaraka

    Ina maana hii nchi ni ya kutawaliwa na wauaji wakati wote? Huyo alitahljwa rasmi kama muuaji, halafu eti awe Rais!! Laana gani itakuwa! Hawa wengine wamekuwa wauaji baada ya kuupata urahisi, sasa huyu amekuwa muuaji hata akiwa na cheo kidogo, akipewa madaraka makubwa unadhani ataua wangapi!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Iran kwazidi kuwaka moto wakati uchumi ukizidi kuporomoka zaidi.

    Nani kakudanganya! Wairan hawajawahi kuwa wamoja. Iran ndiyo nchi inayoongoza kwa idadi ya wananchi wake mukimbilia mataifa mengine kutokana na kutokubaliana na watawala. Pia Iran ndiyo nchi ambayo watawala wake wanaoongoza kuwanyonga raia wao. Na wamekuwa wakiendelea kufanya hivyo hata wakati...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto alieuwawa KIFO cha kutisha Mbagala, aliyehusika ni baba wa mtoto (ex wa mama mtoto)

    Hii nchi kuna wengi wamebeba roho ya shetani iliyowasababishia magonjwa ya akili kwa kiwango ambacho hatukifahamu! Hakuna mwenye akili timamu na aliye na Roho wa Mungu awezaye kuyafanya haya. Hili jitu lililofanya ushetani huu wa mauaji kwa mtoto, halina tofauti na yale mashetani yaliyofanya...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Pope Leo XIV agunduliwa kuwa na cancer ya pafu

    Mungu mponyaji na mlinzi wetu, tunaomba amjalie afya njema mtumishi wake.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar yachunguza kifo cha mwanamke aliyekutwa ametupwa kwenye kichaka Mbagala

    Watawala haramu wamelitia taifa katika laana ya mauaji. Damu za watu huleta laana katika nchi. Sasa mauaji ya watu umegeuzwa kuwa utamaduni wa watanzania! Mungu, tunaomba uturehemu, kwa mkono wako wenye ukuu tunaomba utuondolee laana hii ya mauaji kama Taifa, laana ikawaguse tu wauaji na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya tuhuma ya uhaini wa Tundu Lissu tarehe 6/11/2026: Guilty or Not?. Mambo kadhaa ya kisheria yanayopaswa kuangaliwa..

    Ngoja tusubirie hiyo hukumu ili tunue kama hao majaji bado ni wanadamu wanaotamani kuitumikia haki, au na wenyewe wamekwishaingizwa kwenye hiyo kundi la hayo mashetani yanayoua na kuteka watu, yanayopora na kudhulumu haki za wanadamu. Lakini ukweli ni kuwa mashetani yote, kwa mkono wa nguvu wa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya tuhuma ya uhaini wa Tundu Lissu tarehe 6/11/2026: Guilty or Not?. Mambo kadhaa ya kisheria yanayopaswa kuangaliwa..

    Mtu mwendawazimu, nyumba ya ibilisi kama wewe, unadhani unaweza kuwa na chochote cha maana cha kuchangia hoja kama hii inayohitaji akili na weledi? Mleta mada, zaidi ya kuonekana wazi kuwa ni mtaalam wa sheria, bila shaka yoyote anaonekana kuwa ni binadamu mwadilifu, siyo shetani kama wewe...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Houthi washambulia msikiti huko Yemen!!

    Washia wanasema kuwa Wasuni ni makafiri, na huo ndio msimamo wa Ayatollar wanayemwabudu.
Back
Top Bottom