Recent content by HaMachiach

  1. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Nafasi 10 za kazi kwa watafsiri wa kichina na 10 kwa wapishi wa kichina

    Nipo hapa ndugu mshahara bei gani
  2. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Kulala na wanawake wa nne wa familia Moja yaani mama na binti zake watatu ndani ya wiki moja
  3. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

    Kwahiyo mnajisifu na udini miaka hii? Kweli akili zimeshikwa na dini za kisenge badala ya utu
  4. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Kwanini ujifiche baada ya kushinda maadui wako na shetani au alihofu kukamatwa tena?

    Hapana hakuwa anaogopa Bali ilimlazimu kutoonekana kwao
  5. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

    Kama huwezi kuona hata vitu vidogo kama hivyo basi unamatatizo ya ubongo
  6. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Dec 6 Askofu atakuja kama Winga wa Kulia

    Aje atoe kauli ya mwisho
  7. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri Askofu Gwajima aje atoe ushari wa mwisho kabla Dec 9

    Askofu popote ulipo naamini uko salama Sisi Watanzania tunasubiri uje utoe ushauri wako wa mwisho kabla ya kufika Dec 9 kama ulivyo fanya kabla ya tarehe 29 October Watakao puuzia ushauri wako wasije wakalia badae tunakuomba usimame utimize jukumu lako kabla ya tarehe tajwa .
  8. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Hatumtaki takwimu za kupikwa tunaelewa saivi sisi sio vijana wa miaka ya 1980
  9. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Silaha za kujilinda dhidi ya majizi na jambazi ya mali

    Watu wamepambana na SMG wewe unazungumzia Glock?
  10. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli maiti zimebebwa na canter. Pia nyingine zimepelekwa Twiga

    Kiazi kweli wewe
  11. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Hivi Nancy Sumari ndio alikuwa mwanamke mrembo Tanzania nzima?

    Ameolewa na jamaa mmoja alikuwa diwani msasani anaitwa Luka lakini pia huyo jamaa alikuwa anafanya kazi sport pesa now ameacha na sio mzungu ni mhindi yule bwana
Back
Top Bottom