Recent content by Hallah

  1. Hallah

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuoa (msichana)

    We jamaa bure kabisa!!
  2. Hallah

    JamiiForums Tanzania Tumependana na Mume wa mtu

    Wewe nenda kambong'olee tuu lakini mtaro ukitanuka jiandae kwa taraka 3!! We dada mzinifu bure kabisa, yaani unaomba ushauri jinsi ya kumsaliti mumeo! Hakika dhambi ya usaliti haitakuacha.
  3. Hallah

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta kazi yeyote halali

    Mkuu unahitaji kazi ya ulinzi?
  4. Hallah

    JamiiForums Tanzania Dua yangu kwa wanajukwaa hili

    Amen
  5. Hallah

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi

    Labda limedukuliwa kabla ya tarehe husika maana mm nimecopy na kupest
  6. Hallah

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA HALMASHAURI YA WILAYA MASASI NAPENDA KUWATANGAZIA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI MASASI WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZIFUATAZO: 1. MWANDIKISHAJI NA MUANDAAJI WA ORODHA YA WAPIGAKURA (NAFASI 956) • AWE MTUMISHI WA UMMA (PUBLIC SERVANT) • AWE MUADILIFU...
  7. Hallah

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Hii haimaanishi nimekata tamaa mkuu
  8. Hallah

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Ahsante mkuu, ila huo mradi unahitaji pesa na mimi hata pesa ya kuanzisha biashara ya karanga sina ninachopigania kwa sasa ni kibarua ili niweze kudunduliza na kupata pesa ya mtaji
  9. Hallah

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Bila shaka nimeambatanisha vibaya ujumbe uliopita na huu wa sasa TAFADHALI NAOMBA MNIWIE RADHI KWA HILI mimi ni new meber hapa jforum bado najifunza
  10. Hallah

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Mimi in kijana wa kiume umri miaka 26 na ni mkazi was Dar es salaam elimu yangu ni kidato cha sita nimeshindwa kuendelea na elimu ya juu kutokana na ukata unaoikumba familia. Sina mtoto na bado naishi nyumbani napambana kusaka tonge kwa ajili ya familia nafuu yangu ni baba kujenga kibanda hapa...
  11. Hallah

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Natumaini hamjambo, Mnamo tarehe 30/08/2019 nilipost ujumbe wenye kichwa cha habari kama kinavyosomeka hapo juu Kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa wale waliokuja PM kwa nia njema ya kunisaidia na bila ya kusahau na hata wale waliousoma na ku-comment ujumbe wangu Wengi walikuja kwa lengo...
  12. Hallah

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Naomba msaada wa ada

    Pole Mpauko, Pole sana mkuu kwa magumu unayopitia naamini ipo siku utakuwa na tabasam
  13. Hallah

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Ahsante mkuu lakini sifahamu kutumia mashine
Back
Top Bottom