Tumependana na Mume wa mtu

Tumependana na Mume wa mtu

Wewe nenda kambong'olee tuu lakini mtaro ukitanuka jiandae kwa taraka 3!!

We dada mzinifu bure kabisa, yaani unaomba ushauri jinsi ya kumsaliti mumeo! Hakika dhambi ya usaliti haitakuacha.
 
Aanze kabisa kujiandaa kuachika, ili siku akiambiwa fungasha vilago basi awe tayari na aende kwa amani. Na akae akijua jamaa anasuuza tu hawezi kuwa nae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom