Recent content by halikwenda

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ......

    usiwe na mizaha bwana watu tunatafuta kazi we unafanya utani
  2. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    nimesome BBA IN ACCOUNTING WITH EDUCATION, MAJOR ACCOUNTING MINOR MANAGAMENT. kama kuna anayefahamu nijulishe kupitia e-mail ericndunguru@yahoo.com au phone 0765315758
  3. H

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nadhani hii yote ni kwa sababu ya changamoto za walimu. maisha sio.. serekali haitujali hadi tunachagua pa kufanyia kazi. mi niko mbeya nataka kwenda songea je yupo wa kubadilishana nae jamani?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    nipe e mail yako mkuu.
  5. H

    JamiiForums Tanzania ujasiriamali umetimiza ndoto zangu

    tunaamini kwa muwazi na mkweli tu, majambazi ni wengi siku hizi weka hadharani watu tujifunze
  6. H

    JamiiForums Tanzania kujiajiri tanzania inawezekana?

    jamani mi niko universty nasoma bba in accounting with education, kuajiriwa naona ni manyanyaso sana natamani kujiajiri na nimeplan kujikita kwenye kilimo na ufugaji, lakini naogopa risk. inanichanganya sana. na maliza chuo mwezi jully mwaka huu. naomba ushauri na faraja yenu.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu sekondari 2013

    kwa nini tusijiajiri jamani? kwani haiwezekani?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Posti za mifugo na uvuvi

    hivi haiwezekani kujiajiri vijana, tutasubiri ajira mpaka lini?
Back
Top Bottom