Recent content by halfcastmangi

  1. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Usije ukamwaga mpaka nikuambie

    We mngese kweli🤣🤣🤣🤣
  2. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Kuna watu waongo nyie, lakini nadhani ni njia ya kutufanya tufurahi

    Mbona hata wewe hatujui kama ni Me au Ke🤣
  3. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Ai Code editor ipi unatumia?

    Yes, hata interaction tu, so naweza anzia cursor nikaja malizia refurbish windsurf
  4. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Ai Code editor ipi unatumia?

    Nimejaribu nyingi ila nashauri Windsurf
  5. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salum Mwalimu: Milango ya Maridhiano na CHADEMA ipo wazi

    Umeniwahi, nilitaka kuandika ivi
  6. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Azam TV yenye malipo nafuu

    Achana na mambo ya inbox, ni official? Manake kama sio official changamoto za kimalipo zitakuwa mingi sana, nazijua na shida zake ni changamoto za kimalipo.
  7. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Chumbani kwangu imepotea Tsh. 60,000 na ndani tupo wawili tu

    Huu ndio ushauri wa mtu aliyekomaa kiakili
  8. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Papa: Kutoka Moshi Mweupe hadi 'Habemus Papam'

    Sema translator uliyotumia inachapia kutambua nyakati na muunganiko wa maana na sentesi.
  9. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

    Ni mcha wa mbuzi
  10. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania 𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗺𝗯𝗮𝗯𝗲 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱

    Mjomba simu ikishakuwa na processor ya MEDIATEK nayo simu? Hebu achana bana na simu za Umoja wa kina Mama
  11. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania 𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗺𝗯𝗮𝗯𝗲 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱

    Hamna simu humo. Kwani wenzetu mkiendaga buchani mnachagua nyama ya shingo wakati kidari kipo?
Back
Top Bottom