Usiwe na wasiwasi mzee wa "politique", kuna CAG office itafanya kazi. Na sasa hakutakuwa na ufisadi kwa kuwa CAG ni wa upande mwingine na hii ndo TZ tunayoitaka dada/kaka!! Sio ile ya baba m/kiti, mama mnec, mtoto mnec sijui huyu ni mwenzetu ni fulani!
JPM is in control so usilielie ndugu...
Mkuu elli, kumjibu huyo kenge anaeita watu nyumbu unapoteza muda wako bure!! Kuna watu wana matatizo ambayo hata dunia inawajua wako hivyo, tuna background tofauti sana hasa hasa kutokana na mafundusho ya utotoni. Hata ukiwa mkubwa kubadilika ni sheeeda!!! Over and out!!!
Abunuwasiiii!!! Umesomwa sana wakati unatetea "familia yako/yenu" sasa quote zako unazo-post, mmh!! Hivi kuna mtz utakayemdanganya these days?! Pole sana! labda wewe huenda ni mmoja wa watunukiwa wa ukuu wa...nanihiii. Poleni sana and we are watching "the trend"!!!as Tanzanians
Mpuuzi tu huyu kama dingi yake! Sote kama waTZ tunajua jinsi ambavyo wamekuwa na majibu ya kiswahiliswahili! Tushukuru Mungu we are safe to date! Riz,mbona ulisema unaenda mahakamani Dr. Slaa alipokutuhumu kuhusu utajiri wako? Na ukasema una kigari kidogodogo tu? Ninyi watu mmeipeleka nchi...
Duuh! haya bana!! nilikuwa sijui kabisaa ndugu msomi wa vyuo vyetu vikuu vizuri, sio vya kina sijui kanumba au kayumba!! pia inawezekana A'level ulisoma combination ambazo zinaogopewa na students wengi.
mweeeh!!! wakati napitia maoni ya wadau mbali2, ghafla umenitoa nje ya mada baada ya kuona hii picha!! ni yenyewe kabisa! hadi nimeona kizunguzungu! umenikumbusha mbali sana ndugu yangu.
aah!! ruta, ni kweli kabisa, uv nyinyiemu na mfungo ni sawa sawa kabisa, wanafiki semeni ndiyooo! ila usigambile sityupiti inifuronti ofu mmai waifu!!!
mh! akili zilezile!! wenzio wameleta evidence, tena ya video kabisa, wewe unakuja na bla bla tu hapa! yaani unajifyatua akili eti hujui aliyeleta udini ni nani ktk nchi hii!!!! mweeeh!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.