Recent content by Half London

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

    Umenichekesha sana. Nilizoeana naye sana hadi tukawa tunawasiliana.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ujasusi Sebuleni Kwetu

    Na mimi imekataa.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Swebe wapi Jerry?

    Old is Gold. Hakuna wasanii walikuwa watiifu kama wa kipindi kile. Ndiyo maana wengine bado wanaigiza lakini hawana scandal za ajabu ajabu.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Swebe wapi Jerry?

    Bado anaigiza? Anafanya harakati gani hapo Contena?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Swebe wapi Jerry?

    Hahahahaaa....huyo huyo broh. Alikuwa na kina Ben.Jerry kuna igizo aliiba cheni. alichezea kichapo.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Swebe wapi Jerry?

    Miaka ya 2000 tamthilia ya Kaole walikuwa wako juu sana. Wengi bado tunawaona kwenye movie na tamthilia. Lakini kijana aliyekuwa anaigiza kama muhuni na mwizi,rafiki yake na Swebe sijawahi kumwona kwenye igizo wala movie yoyote tena. Yuko wapi wadau?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha usikivu wa (masikioni)

    Bei gani
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutosikia vizuri

    Hata mimi ningependa kujua mnapatikana wapi,gharama za kupima na namba za simu. mimi nipo Dar es Salaam na Kilimanjaro.
  9. H

    JamiiForums Tanzania RC Mwanri Aomba Radhi Kauli Yake ya “Mungu Amshukuru Rais Magufuli”.

    Huyu Magufuli ana waumini wake.
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    Mimi nilimweleza ambaye alikuwa na bwana'ke kwamba simtaki akanitishia kweli. ila nikayashinda majaribu. Ila nilizaa n
  11. H

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

    mwanzilishi wa mada,hata wewe akili yako ni kama ya LEMUTUZ. Picha za yeye na mademu muda wote zimekufikisha mbali? Ptuuuuuuu...........
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wasanii wakali zaidi katika storytelling songs

    Story ba Nyokaa, kamchizi flani hivi! Unatamani hata kumjua Huyo anayesimuliwa kutokana na jamaa anavyomwelezea
Back
Top Bottom