Recent content by Haleluya Amina

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    Atulie na alienae kwa sasa maana hata huyo alietalikiana na mumewe si mkamilifu. Maisha yanaweza kubadilika akajikita anamjutia aliemuacha.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Miaka 42 sasa ya kuzaliwa na 30 ya uzoefu wa ngono sijawahi mpata mwanamke BIKRA

    Wengi ambao Bado wanazo ni wanafunzi tatizo ni wepesi kushikia mimba
  3. H

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kuachiwa Huru Ijumaa tuelekezwe njia za kupita zitakazohimili Maandamano Makubwa

    Sidhani kama ataachiwa kutokana na nature ya kesi yake ni vema mleta mada angeacha mpaka aachiwe ndio angeandika post yake
  4. H

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tuwe Makini: Kauli ya Nchimbi inayotututaka Wananchi kupigania katiba mpya inafikirisha sana

    Iwe ni mkakati wa ccm au hila zao, ki kivyovyote wanaharakati wamepata pa kushikia. Ni kupiga kwenye mshono. Wanapita humo humo kupiga spana. Hutuba ya nchimbi ni upenyo mzuri
  5. H

    JamiiForums Tanzania BBC Africa imeachia Documentary mpya kuhusu Tundu Lissu. Mke wake Lissu Alicia nae yumo

    Ngoma ikivuma vu vuuu vuuuuuuuu, ................. Giza likizidi ujue kunakaribia kucha
  6. H

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kutoka kuapa kutokuwa mpinzani bali msaidizi wa rais Samia hadi kuwa Yuda!

    Namkubali nchimbi. Bora nchimbi kuliko kuongozwa na Samia.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Urusi

    Putin kajichanganya kumpokea nchini mwake amejishushia heshima kabisaaa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameenda Urusi kuitisha Marekani?

    Cha kushangaza ni sisi kuwaza kuwa marekani inaweza kutusaidia. Wakati tuna majeshi nayo yamegeuka either wasaliti au na wao wanategemea marekani
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hawa wanatupanga, hakuna ugomvi wala nini

    Naamini Vita vyao ni kweli. Ukisema ni drama unakuwa Kama mtu anaemsikia ndugu yake analalamika maumivu halafu anasema anaigiza tu. But ni wao wenyewe ccm wammetufikisha hapa.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hoja za Warioba zijibiwe, zisipigwe Rungu!

    Walioba kapiga kwenye mshono
Back
Top Bottom