Recent content by HAKUNAMATATA

  1. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanganyika msipojikomboa sasa, basi tena

    Umesema upo pamoja na nani?
  2. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania Aaah kumbe familia

    Hicho ni kiazi kama viazi vingine vya mboga mboga
  3. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Iran hawa air defense? S-300 na S-400 zilikua zimelala?
  4. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa kwenye bandari ya Shahid Rajaee huko Iran!!!

    Milipuko 3 kwenye sehemu 3 tofauti kwa wakati mmoja….. #Watu Wapo Kazini
  5. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Beki tuna Lucas na Alaba. Ila Carlo😃😃😃
  6. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania Houthi watangaza kushambulia uwanja wa ndege ben gurion israel na meli vita ya marekani

    US kapeleka madubwana ya B-2 zaidi ya 5 kwenye kisiwa cha Diego Garcia. Tutarajie show ya kibabe hapo middle East ndani ya siku chache zijazo mbele.
  7. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania Trump Asema Anamheshimu Sana Zelensky, ni Kiongozi Jasiri. Haamini Alimwita Dikteta

    Kwa kilichotokea jana ni wakati muafaka sasa wa Europe kuangana na Russia ili wawe against USA.
  8. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania Israel hostages looks happy and healthy

    Itachukia miaka 16+ kuijenga Gaza mpya.
  9. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania Yabainika Ufaransa ililipa mabilioni ili majasusi wake waliokamatwa nchini Burkina Faso waachiwe

    Asante kwa taarifa lakini hilo ni ngumu kutokea kwasababu serikali za Kiafrica ni corrupt sana. Ingekua hivyo, wangetumia robo ya hiyo fedha kuhonga maafisa usalama ili watu wao watoroke au ingetumika nguvu.
  10. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kwanini tusicheze 4-3-3? Hii ya kutupia mipira mbele Mbappe akafunge haiwezi kutulipa.
  11. HAKUNAMATATA

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Sijaelewa kwanini tunacheza mipira mirefu wakati tuna midfilders na washambuliaji wazuri wa kumiliki mpira.
Back
Top Bottom