Recent content by hakuna uchawi

  1. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Hakuna mungu,wala shetani,dini biasha za watu
  2. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    Nabii yupi maana wapo wengi
  3. hakuna uchawi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

    Ni watu wazima msiumize kichwa waacheni
  4. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

    Uwiiiiiiiiiiiii kwq hy na yeye ni chakula
  5. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mkeo au mumeo au mzazi wako akiwa na mambo ya Kishirikina? Hivi ñdivyo utakavyofañya

    Mkuu hakuna uchawi, sio hakuna tu haukuwahi kuwepo yaan haupo kabisa,uchawi ni vtu vya kufikirika uchawi ni imani uchawi huishe kwenye ufahamu wako,ukifikiri hivo itakuwa hivo
  6. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Mhhh dunia inaenda mbele we unarudi nyuma
  7. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Je drafti ni kipimo sahihi cha IQ?

    Hello
  8. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

    Walimu wasiache kazi ila selikari iwekeze kwenye elimu ikiwemo kuwalipa vizuri.yaan mwalimu leo hii analipwa laki 2 au 4 au 7 alipe nauli avae ale asomeshe..bado anawazazi du
  9. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Uchawi ni imani'kitu pekee kinacho weza kufanya na uchawi ukaonekana upo ni imani na hiyo nguvu ili ifanye kazi inataka uiamini/uwe na imani nayo uiishi.hao wanao itwa manabii na mitume wanajua vema siri ya uchawi.ngoja nitumie neno hili wamehaki akili za waumini wao hivyo muumini hawezi tena...
  10. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Ukweli halisi hakuna uchawi..hiki kitu au dhana inayo itwa uchawi haipo
  11. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Hiyo ni hofu yake hakunaga uchawi
  12. hakuna uchawi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kusema tuachane mara kwa mara, maana yake nini?

    Tafsiri ya hapo anamtu mwingine
  13. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

    Tatizo ninini kwani sisi tumeshindwa kuendesha?
  14. hakuna uchawi

    JamiiForums Tanzania Usipoteze hela zako, Hakuna Mganga anayeweza Kutibu Uchawi

    Aaaa uwiiiiiu
Back
Top Bottom