Recent content by hakuna matata2

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Mbona jina lako hapo inaonyesha mudi lakini umesema wewe wa kike?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kunyoa nywele za kifuani na kitovuni

    Naomba kuuliza kuna madhara ya kunyoa nywele za kifuani na kitovuni au tumboni maarufu kama garden love? Maana naona zinanizidi kiwango na zinakua ndefu unajua nywele singa yani zinakuwa ndefu. Naonaga noma ikitokea kuwa kifua wazi mbele ya demu au mademu.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mitoto mingine sijui ikoje? Kazi ya ualimu ni ngumu sana aisee

    Lakini acheni yote watu msiishie kulaumu mwalimu tu, kila mtoto akifanya vibaya kosa lina kimbizwa kwa mwalimu, bila kutambua kuwa watoto wa kemikali hawa jamani, vichwa vigumu kama jiwe yani mwalimu anafundisha wee na kumaliza mbinu zote anaamini kwa jinsi alivyofundisha, mtoto yeyote atakuwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Tutupie zile za chuchu saa sita jamani.
  5. H

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    Many people are good at writing, but when it comes to the point of speaking, it is a problem. Speaking practice is very good way to improve english language especially for those who wish to be fluent in english. If any one wants to make practice, Iam here and my phone number is 0782210033.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada matumizi ya neno mukktadha

    Naombeni mnifundishe maana na matumizi kwa kupatiwa sentensi ya neno muktadha
  7. H

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Dodoma Mjini maji yapo tele lakini Morogoro kuna shida ya maji?

    Yeah. Maji ni muhimu sana
  8. H

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Dodoma Mjini maji yapo tele lakini Morogoro kuna shida ya maji?

    Hapana dada, maji ni kitu muhimu mno, sehemu kukiwa na shida ya maji ni hatari, maana hata kuoga ni shida, yani mh hapana ingawa ndoto yangu ilikuwa kuja kutest maisha moro baada ya kufeli huku mafia mkoa wa pwani
  9. H

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Dodoma Mjini maji yapo tele lakini Morogoro kuna shida ya maji?

    Nilikuwa na mpango kuhamia moro, lakini kw shida ya maji, nimeghAiri
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

    Soma vizuri uzi, utakuwa hujamuelewa vizuri
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupakua App kwa kutumia simu

    Msaada simu yangu nikitaka kudanlodi application basi inalodi inazunguka tu hata asubuhi mpaka jioni haidanlodiki tatizo ni nini?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Za anti ezekiel za uchi za kitambo, wema n.k jamani, tupieni
  13. H

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Telegram link gani mipicha matamu?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kama unajiamini unajua kiingereza kuja hapa

    Mimi najua
  15. H

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mbona kwangu picha nyingine hazina picha ni box tu tupu ?
Back
Top Bottom