Nashindwa kupakua App kwa kutumia simu

Sep 25, 2021
23
22
Msaada simu yangu nikitaka kudanlodi application basi inalodi inazunguka tu hata asubuhi mpaka jioni haidanlodiki tatizo ni nini?
 
Sababu inaweza kuwa hizi.

Simu imejaa futa vitu vingine

Apps ziko nyingi ambazo zinahitaji update na tayari zipo autupdate so hiyo unayotaka kudownlod inaingia kwenye pending

Huna internet inayofaa

Simu yako iko outdated.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom