Recent content by Hakuna kudumaa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Biashara, Tenda, Kazi ndogo ndogo.

    mko vizuri
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wageni wa 'ghafla' majumbani mwetu.....

    wambie sisi tunataka kutoka,wachague wao wenyewe waondeke au wabaki hapo
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Pale katiba mpya hamna wanakula zetu tu.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Danguro Zakhem Mbagala- Dar labomolewa na serikali

    Hongera sana jeshi la polis temeke,huku kinondoni ndo kuna mabaa na madanguro mengi sana ,jeshi polis kinondoni fanyeni hivyo
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Rais Kikwete hapigiwi Mizinga Zanzibar?

    Hao wenzetu waliisha jitenga siku nyingi sema viongozi wetu wanajipendekeza
  6. H

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

    Hiyo rasimu imeandaliwa na watu ambao uwezo wao mimi binafsi nauna ni mkubwa,sasa iweje lukuvi asema hiyo rasimu haifai
  7. H

    JamiiForums Tanzania Angalia picha ya itakavyokuwa mradi wa mabasi yaendayo kasi dar

    tusubiri tuone utaratibu
  8. H

    JamiiForums Tanzania Huu ni ukatili kwa wanyama

    ahaaaaa wakurugenzi hizi picha zimekaa vibaya
  9. H

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam City in Photos

    ukitazama hizi ni nzuri lakini njoo tena kipindi hiki cha mafuriko
  10. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hayo majibu mazuri sana tena
  11. H

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    Ukiona hivyo kimia kingi basi wenye nafasi wameisha itwa ila ninyi ilikuwa ni zuga,VUMIRIA polepole ndio mwendo
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Hapo umesema neno na ingekua vizuri sana vichwani mwao wakaweka dhana ya kujiajiri na sio kuajiriwa kwa maana kuwa watumwa, thank You
  13. H

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Nikuadi Kuwa Hizi Njia Kaka Nitazifanyia Kazi Kwa Kuwa Zina Muonekano Mzuri Na Unao Fahamika ,asante Kwa Kureta Fikra Kubwa
Back
Top Bottom