Recent content by haki8

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Salon ya kike anahitajika

    Natafuta mfanyakazi Wa salon ya kike awe anaweza kusuka na kuset mitindo yote ya nywele na awe mkazi Wa Tabora mjini.. Mshahara ni 130000 kwa mwezi Preferred Wa kiume mwenye uwezo Wa kusuka na kuset mitindo yote na mwepes Wa kujifunza style mpyaa
  2. H

    JamiiForums Tanzania Usaili TPB

    Kaka na mm nimeitwaa but sijui ni wangapi wapo
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa test zaTPB bank

    Mwenye uzoefu wa test za hawa jamaaa...pls msaada. [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] Greetings, TPB bank Plc. is pleased to invite you to appear for an aptitude test for the post of Credit officer Group Lending which will be held on Saturday 13th May, 2017 at TPB...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kupata mimba baada ya mimba kuharibika?

    Wanajanvi, Sory, je inachukua muda gani mwanamke kupata mimba baada ya mimba kuharibika?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuchangia pessa za interviewer

    Hi Applicant! I have the pleasure to inform you that the RECRUITMENT TEAM has received, reviewed and thoroughly discussed your credentials and has fianlly made a final deciosion of calling you for a face to face interview. MODE OF COMMUNICATION: Our client being an International...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu

    Je wanajanvi nini cha kufany pale unagundua umempa mimba mke wa mtu na hataki kutoa but yeye lengo lake ni kutoja pale alipo ili aolewe na mm
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kuchangia damu

    Demu wangu anataka tuchanjiane damu .. Je hi huwa maana yake ni nini
  8. H

    JamiiForums Tanzania Dogo kafichua siri

    Baba na mama ngoma droo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hofu wakati wa kuaex

    Namaaanisha why hufu huchangia uume kulala wakati wa tendo
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hofu wakati wa kuaex

    Ni kiasi gani ukiingiwa na hofu wakati wa kufanya mapenz husababisha jogooo kulala??
  11. H

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Tatizo la uume kulegea wakati wa kufanya mapenzi

    Wadau, Tusaidiane kuna mwana ameniuliza nimeshidwa kumjibu Ni tatizo gani linasababisha kwa uume kulala katikati ya game? Na mnamshauri nini.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Sales Representative

    Duuu !!
  13. H

    JamiiForums Tanzania Sales Representative

    Sasa si unishauri
  14. H

    JamiiForums Tanzania Sales Representative

    Wana janvi nimepewa tenda ya kuuza kondom mpya kwa mwezi laki tisaa but lazima niuze carton 60 kwa mwezi je ni sawa??
  15. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiwa natafuta bao la pili katikati jogoo anasinzia mpaka napumzika

    Guyz achen uchwara dakika 46 ni kawaida for a real man sure maandaliz na kujua how to stop pree ejaculate
Back
Top Bottom