Sales Representative

haki8

Member
Jun 7, 2016
26
35
Wana janvi nimepewa tenda ya kuuza kondom mpya kwa mwezi laki tisaa but lazima niuze carton 60 kwa mwezi je ni sawa??
 
Mimi naona ni sawa tu piga hesabu 900,000÷60 utajua unalipwa shillingi ngapi pia kwenye mahoteli,lodge etc ndo kwenyewe huko...
 
Back
Top Bottom