Usaili TPB

marikizz

Member
Mar 9, 2017
30
9
Jamani kama kuna mtu anajua TPB Wameita watu wangapi kwenye usaili wa CREDIT OFFICER GROUP LENDING ANIJUZE,na pia hivi inawezekana ukautwa kwenye usaili wa nafasi ya degree wakati wewe ni diploma ingawaje uliaply ?
 
Back
Top Bottom