I think the best way is to check on the government website u can see government salary levels, bt forget about being paid well and prepare urself to be a corrupt manager!! Dats z tz
Pole sn kwa kuishi nyuma ya dunia! Hapo huna g/f huyo ni cheche mkimbie! Simple analysis
1. Mchongo wa kazi usiku wa manane?
2. Unatuma sms ya kuvunja penzi anatake easy tu wewe haujiulizi why?
3 kwa nn haupokei zake? Ni ishara ya udhaifu wako kwake! mwanamke haogopwi ww mpe ukweli kama unahisi...
Hey wana JF huyu dogo anatakiwa kupewa elimu ya mahusiano rather than personal attack!!
Dogo sio kusex na mwanafunzi tu bali ni kusex na binti yoyote ambaye under 18 ni kosa kisheria kwani unakuwa umebaka na adhabu yake ni kifungo miaka 30.
Muache asome na umuogope kama ukoma. Darasa la bure
As long as unaweka na hela zako kwenye akaunt mwambie akuletee bank statement na ktk hili u need kuwa serious ht kama ni mumeo kwani unaweza ukawa uanaibomoa ndoa yako kwa pesa zako mwenyewe akawa anaspend na small house! Kama ni mumeo na nakupenda kweli kwa nn awe mkali ukiuliza maswala ya...
Unashangaa nn? Afadhali hao wameweza kujisitili at least ndani ya gari watu wanawakunja vichochoroni kweupeeeee! Hizi ni siku za mwisho wa dunia ww!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.