Recent content by HAKI UINUA TAIFA

  1. H

    Tanganyika imerudi

    Ndiyo, Tanganyika irudi
  2. H

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali 3. Uchambuzi wa mzee Warioba unajitosheleza.
  3. H

    Vitendo vya kushambuliwa ukristo, wito kwa watumishi wa bwana yesu

    Wapendwa katika shamba la Bwana wetu Yesu Kristo, kila mwenye macho haambiwi tazama. Dalili zote za kuangamiza kanisa sasa ziko wazi!! Wapendwa watumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo, kukaa kimya au kutoa matamuko kwa baadhi yenu hakujaonyesha utoshelevu au mabadiriko yanayohitajika, kunahitajika...
  4. H

    Nilichokiona na Kukisikia Kijijini Nyololo, Siku 4 Baada ya Mauaji ya Mwandishi Daud Mwangosi...

    Ndg Maggid wewe ni mwandishi wa habari na unaheshimika sana katika jamii. Nashukuru kwambo umefika katika eneo la tukio, wengi tulitarajia utuhabarishe uliyoyaona na kuyasikia toka kwa watanzania wenzetua ambao ni mashahidi muhimu kwa tukio hili. Hapa nashangaa kwani mambo mengi umeyaficha...
  5. H

  6. H

    WABUNGE wa Zanzibar kuchangia wizara ZISIZO za MUUNGANO.

    Usishangae hilo ndg, wapo ambao ni mawaziri kamili katika wizara zisizo za muungano Watanganyika tumelala usingizi mzito. Eeeee Mungu wa rehema tuamshe katika usingizi huu.
  7. H

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    Jambo la msingi hili viongozi wa madaktari. Acha dunia nzima ijue yanayoendelea. Mungu ni mwema na sauti za wengi ni sauti ya Mungu. Mungu awatetee katika hali ngumu hii mnayopitia.
  8. H

    "Pray For Dr. Ulimboka" Facebook Page

    "Nami nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nalikuambia, ujapokuwa katika damu yako, uwe hai; naam nalikuambia, ujapokuwa katika damu yako uwe hai" Ezekiel 16:6-7. Tumshukuru Mungu ambaye alimwona akigaagaa katika damu yake akamweka hai hata leo. Neno la Mungu ni ndiyo na...
  9. H

    Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

    Hali hii ya udini itaangamiza taifa letu. Vyeo/kazi haviwezi kutolewa kwa kuangalia dini ya mtu bali sifa sitahiki aliyonayo muhusika kwa nafasi hiyo. Eeeeeeeeeee Mungu tuepushe na hali hii.
Back
Top Bottom