Recent content by haki-tz

  1. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wazee wa Automobile ndo mwaka umeisha na zaidi bila hata mmoja kuita uongozi wa juu utumishi wanahojiwa hawana cha kujitetea zugazuga!
  2. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    PDF zimekimbia wapi siku izi😳😁😁
  3. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ila mambo ya Tanzania katika ajira ni kupotezeana muda tu 😂😳 najiuliza sana ivi wale jamaa wa automobile waliyo fanya usahili wa mahojiana (oral interview) November 8, 2023 hadi Leo hawajapangiwa hata mtu mmoja ndo by by au na wale wa mechanical engineer waliyo fanya usahili mwezi wa mahojiano...
  4. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Akipata ajira ndani ya mwaka mmoja utafikili ame make zaidi ya miaka 10 , sasa wale wa giri la mkono huwa hafi kwenye daladala utasiki mimi nikisitafu nitanunua mashamba mala viwanja mala tracker za kilimo😳😳 alafu wanacho kisema hata wana exprience nacho yaani hadi unacheka eti mtu hadi astafu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Watu wanao pitia joto la ajira kwa kipindi kirefu wakija kupata wengi huwa wanatoboa maisha zaidi maana maarifa yao huwa yamefunguka kwa viwango vya juu sana
  6. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Baadhi ya tasisi, idara, wizara na angency zina ushetani kama wa p-didy, hata hakuna huruma ivi nasikia watu na naona watu wanakaa zaidi ya mwaka kusubiri kuitwa kazini ili hali hata majibu yao ya oral(usahili wa mahojiano) hawajui maksi zao, kwani kuna siri gani angali hata Yesu hakuwa na siri...
  7. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    ila kuna watu wa ovyo humu hata kama ukiwa utumishi (psrs) ndo ujitangaze na kutisha watu, kwani jamani kinacho mpa mtu ajira ni nn juhudi zake binafsi( interview) au mkono wa mtu?, kimantiki harari najua ni juhudi za mtu, pia hata kama ni connection huwa haziji kivi kama ninavyo ona msg za watu...
  8. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sasa taasisi inapelekaje uhitaji na kuachia psrs ifanye mchakati wote hadi mwisho alafu iseme hainauhitaji wa haraka au hawana budget ya mtumishi mpya huo ni utahila na ujinga tu, why isisubili uhitaji na uharaka ukifika na budge itengwe kwanza ndo ipekele requarement(tangazo) utumishi
  9. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hahaaa 😁😁😁😳
  10. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Psrs follow up ya pdf za kuita watu kazini ya mwezi wa sababu na nane haijaisha tu bado!, kuchelewa kuita watu kazini hupelekea watu kuto lipoti kazini ether kwa kuwa washapata kwingine ndani na nje ya nchi, au kufaliki au kutokujua tarifa ya kuitwa kazini kwa wakati hivyo pia kuleta changamoto...
  11. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Weka single file video zote na kama ni pdf pia weka single file then tuma zikiambatana na docoment zingine za academic na cv
  12. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ukituma application unazituma kwa pamoja kama unavyo ambatanisha vyeti na cv katika application
  13. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Weka kazi zako unazo fanya za videograph either in video format, pdf na picha picha
  14. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    😁😁
  15. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ila ukifanya interview za MDAs hadi ukapangiwa kazi Inabidi uwe na back ya moyo, maana moyo utauma sana na presure juu so andaa moyo wa backup!😁😁😳,kuna member hadi leo hazijapangiwa zote zilizo ingia interview, sasa sijui waitisha usahili wa nini kama mambo hayako poa now zaidi ya mwaka, ndo...
Back
Top Bottom