Recent content by haki na usawa

  1. H

    Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Aliyesema kuwa atakaye laani Israel naye atalaaniwa ni nani? Tunaaminishwa na watu weupe kila kitu! Mauaji yanayoendelea Mashariki ya Kati yanatakiwa kukemewa na kila mtu mwenye akili timamu na asiyekuwa na upendeleo wowote!!! Huwezi kuua watu kwa kisingizio cha kulipa kisasi ama huwezi kuua...
  2. H

    Nasema hivi, Mume anauma!

    Hongera kwa hiyari na kugharimia kuwezesha kuongeza mke maana sasa jamaa atakuwa anakula kwako na kula kwa uliyemtuma na akiona cha mwenzako ni bora zaidi atakushukuru sana kwa juhudi yako kumpatia kifaa kipya chenye uwezo zaidi kunako kule mbugani!! Hili ulilofanya ungefanya tu kwa mumeo na...
  3. H

    IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel

    Hata Israel Kuna Waislam acha udini!! Angalia uchangie kwa haki na sio ushabiki
  4. H

    Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

    Sisi Waafrika hakuna tunachoweza kufanya bali kila kitu tumaminishwa na watu weupe kuwa ni Bora!! Sisi tuliishi kwa amani enzi za ujima pasina matatizo yeyote! Walipoanza kuja weupe ndiyo shida ilipoanza!! Tumeaminishwa na tumeyabeba bila kutafakari kwa kina na tumebaki kubishania...
  5. H

    Askari Polisi kutumia silaha za moto za Automatiki (SMG, ASSAULT RIFLES) siyo sahihi, ni silaha za Kivita

    Ukiwa ni mtu ambaye hujawahi kukutana na majambazi wenye SMG na AK47 utatoa ushauri kama huu. Lakini ukikutana na changamoto kubwa ya kukabiliana na jambazi mwenye zana za kisasa na silaha za kivita naamini utatoa ushauri wa kutumia silaha Kali zaidi ya hizi wanazotumia askari polisi za Sasa...
  6. H

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Ombi lako ni gumu sana kueleweka maana kusoma na kufanyia kazi ni vitu viwili tofauti! Unaweza kusoma lakini kutumia elimu kwa manufaa mapana ya umma ni mtihani mwingine na wasomi wengi kufanyia kazi taaluma waliyosomea ni mtihani mkubwa zaidi zimebaki nadharia tu!! Kupewa Mamlaka kwa Wasomi...
  7. H

    Vodacom wameanza wizi wa hela za M-PESA

    Ushauri angalia statement ndipo uje na malalamiko hapa, huenda simu yako wanatumia wengi na namba ya siri pia wanajua! Huenda kuna mtu wa karibu yako aliyetumia kwa kununua bando au kutuma kwake!! Jiridhishe kuwa watu wako wa karibu hawajatumia hiyo pesa yako!! Unaweza kuja kufunga familia yako...
  8. H

    Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

    Kama huna vibali na nyaraka za kuuziana inaonesha nako huna. Wewe utakuwa ni mzembe tu. Tunajifunza kutokana na uzembe ila kwa hili jiandae kisaikolojia maana asilimia kubwa ni kukosa. Jaribio la mwisho ni kwa mama yako. Likifeli huna pa kumpeleka maana huna nyaraka huo utakuwa ni uzembe wako...
  9. H

    Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

    Kwa mtazamo wewe ni mzembe kwenye uwekezaji kama ni kweli. Kwa maelezo yako yanatia wasiwasi kama ni kweli. Kama huyo mtu aliwahi fanya biashara na mama yako na hivyo wanafahamiana vizuri, na wew una vielelezo vya kutosha mwambie mama yako amwendee akamdai maana atamlipa ila kwako kukulipa wew...
  10. H

    Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

    Pole sana! Katika mfumo wa maisha kuna changamoto nyingi sana! Moja kubwa ni uadui; Ni vyema kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi! Picha pekee haitoshi kufanya maamuzi sahihi kwenye ulimwengu wa sayansi na technolojia. Kipindi hiki unatakiwa muombe sana Mwenyezimungu akupe subira na uvumilivu...
  11. H

    Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Ni mwaka wa kujipanga ili uolewe na si vinginevyo! Ukiruhusu kutumika ujue unazidi kuchuja na hatimaye utakosa soko! Kama mwaka huu umepata bahati hiyo itendee haki kuliko kuamua kuwapa kwa ujira wa chochote!! Maana ukigawa utauchosha mwili wako!!!
  12. H

    Mwaka mmoja Ikulu, Rais Magufuli afanya makubwa

    Tunamwombea kwa Allah uzima, afya na amani ili aweze kutuletea maendeleo na kurudisha misingi ya haki, wajibu na uadilifu makazini!
  13. H

    Ikiwa tuhuma hizi ni za kweli, basi Waziri Ndalichako anapaswa kujiuzulu haraka iwezekanavyo

    Mtoa mada inaonekana uelewa wako ni mdogo sasa!! Hata ungekuwa wewe ungepigania mwanao apate fursa ya kukopeshwa maana hata matajiri wengine nao watoto wao wanapata mkopo!! Je kati Prof. Ndalichacko na Matajiri wenye biashara zao na watoto wao wanaopata mkopo nani mwenye makosa? Mfumo wa kutoa...
Back
Top Bottom