Recent content by Hajto

  1. Hajto

    GE2025 Serikali kupitia TANROADS imeanza rasmi ujenzi wa daraja eneo la Jangwani, Dar es Salaam

    Ila mie nionavyo itafikia iyo Oktoba na wasilipe kulipa itakuwa labda mpaka uchaguzi upite
  2. Hajto

    GE2025 Serikali kupitia TANROADS imeanza rasmi ujenzi wa daraja eneo la Jangwani, Dar es Salaam

    Mhanga mwenzangu tuliobakia wa mradi wa bonde la mto msimbazi,nimektumia meseji namba yangu tuweze kuzungumza ama kupeana taarifa mbalimbali zinazojiri
  3. Hajto

    Bila Kadi kwa mtu mzima hupandi mwendokasi

    Hili wazo lako nimeliwaza na kuliwazua,huenda kuna watu ndio itakuwa biashara yao iyo mtu mjanja anakuwa na salio la kutosha kisha anakaa nje ya geti kwa wale wasiokuwa na kadi itawalazimu kumpatia mtu buku anamfungulia kisha unapita zako,kwaiyo fursa iyo kwa wale wajanja nimeiona labda itokee...
  4. Hajto

    Leo nimethibitisha unafiki wa Watanzania Pasina Shaka

    Hapo ndio atazidi kusimangwa,awaache tu ivyoivyo na uelewa wao,ila hapo ulivyowadanganya mie nimependa,kwani ungewaambia elimu ya chuo uliyofikia bado wangekucheka tu kwa kazi unayoifanya,sasa hapo ulivyowadanganya ndio sehemu ya kujiweka vizuri kimaisha
  5. Hajto

    Msaada! Tools za Kudownload videos

    Nomba kukuuliza,kuna video nikizidownload Youtube halafu nikaweka kwenye flash kisha nikataka kuangalia kwenye tv hazioneshi...je tatizo ni nini hapo
  6. Hajto

    Biashara na faida ya Bajaji ya mkataba

    hapo unatafuta lawama tu na familia za waendesha bajaj
  7. Hajto

    Zipi fani zinazotolewa na veta kwa sasa ni nzuri kwa mabinti

    Kozi nzuri kwa mie naona Ac and friji na umeme wa magari naona kwa mtoto wa kike ni nzuri kwao
  8. Hajto

    Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

    Kuna mji fulani nilipita buchani asubuhi nikaona wameandika bei ni elfu kumi,ila nikapita mida ya jioni nikakuta wameshusha bei na kuwa elfu tisa na mia tano
  9. Hajto

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wampiga chini Mwenyekiti wao zamani. Wamchagua Severin Mushi kama kiongozi wao mpya

    Hii inaonyesha Bwana mbwana alikuwa hakubaliki na wafanyabiashara wenzake,yaani hata robo tatu ya kura kashindwa kufika,ila nao wapiga kura wanasiri sana moyoni,itakuwa kabla ya kupiga kura walimpa matumaini ya kushinda ila moyoni mwao kuna jambo wameshalipanga kumpiga chini
  10. Hajto

    LGE2024 John Pambalu: Wasimamizi wa Uchaguzi jimbo la Newala Vijijini hawapo vituoni kutoa na kupokea fomu za wagombea

    Uislamu unasisitiza sana kutenda haki,huo ujinga unamsapoti Mama huoni kama unamdidimiza kupata hukumu nzito na ngumu sana siku atakayokuja kulazwa mwanandani
  11. Hajto

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Ni bora mpaka kufikia hapo uwe hai,ukifa kabla ya 55 hela yako hesabia imepotea
  12. Hajto

    Huu ndiyo muonekano wa sayari ya Mars, kama Dunia yetu vile

    Sasa uko ndio sehemu nzuri ya kwenda kutuliza akili na kula maisha,nashauri wale visirani na machawa marufuku kuingia sayari hii mpya,nikifika uko chakwanza najitangazia uraisi wa nchi wa kudumu
Back
Top Bottom