Recent content by Hajiii

  1. H

    JamiiForums Tanzania Udom vipi wadau?

    Wengi wanapata matangazo kupitia kwa watu(mdomoni) halaf wanakuwa wabishiii.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mbegu ya papai na tikiti

    Hi Jf doctors!naomba kujua maajabu ya mbegu za papai na tikiti katika mwili wa binadam vilele maajab ya Mloge maana nimekuwa nikisikia tu kwa muda mrefu sasa kwamba mazao hayo ni tiba kubwa.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

    Kuna bilinganya mkuu,chemsha weka chumvi kidogo kisha komba hivyohivyo bila ugali/wali.endelea kwa siku tatu na zaidi,ukikosa tena usingizi bas kutakuwa na mguu wa mtu.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tume ya ajira na sharti la kuthibitisha vyeti kwa mawakili na mahakimu

    Swala sio kuchonga mihuri au ukosefu wa fedha! hebu tujiulize,anayeweza kutambua kuwa cheti changu ni halali au batili ni chuo/baraza au wakili? Kama ni mawakili basi hata mitihani ya taifa/chuo wanatakiwa waisajili wao
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nina nuksi au nini jamani? Mbona sielewi?!

    Umepata kazi bana.Nenda pale Riverside njia ya kwenda kwa mzee wa upako,nyoosha moja kwa moja mpaka uvuke shule ya msingi mbele kidogo utaona bango limeandikwa British Contact.wanajihusisha na ujasiliamali.feedback.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nini huchangia mabadiliko ya katiba?

    Nini hupelekea mabadiliko ya katiba?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nakula bila kujisaidia.msaada tafadhali.

    Nina tatizo la kukosa haja kubwa,tatizo lililodumu kwa muda mrefu sasa.huwa nakosa hata zaidi ya wiki moja bila maumiv yeyote ya tumbo.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wenyeji mpooo!

    Ongezeni shea mlaji nimetia timu
Back
Top Bottom